Maandiko yanasema "Wanaume tunakula kwa jasho na Arsemwali anazaa kwa uchungu kila inapofika mwisho wa msimu"
Kimasihara masihara Utd anamaliza msimu akiwa na furaha ya kubeba kombe halafu Arsenyau wanamaliza msimu mikono mitupu na kudanganyana Phase 5 ndio phase ya makombe.
View attachment 2970829