Haya na simba hayana tofauti πππLazima mlambwe leo hakuna namna
Hivi mnatumia vilevi wakati mnaangalia mechi zenu?Ni wale wale tena barobaro boys vijana wa Bwenyenye Sir Jim hawa wanashuka kugawa ile kichapo ya nguvu twende naloView attachment 2962525
Punda kabisaBruno Fernandezzzzz
1-1
Hiki kishakuwa ni kikundi cha ngoma,makaveli10 Half american njooni tuwape moyo mashetani wekundu ππππ
πππ Kila timu wanijipigia km mbwa kokoHiki kishakuwa ni kikundi cha ngoma,
Man u wamekuwa kama mamung'unya yanaharibikia ukubwaniππ€£
Leo naona wanadrawmakaveli10 Half american njooni tuwape moyo mashetani wekundu ππππ
Mwanzo walishikwa bahati yaoLeo naona wanadraw
Wana bahati sana ila hawana madhara kwetu hata hiyo point moja inawafaa sana. Man utd itamaliza nafasi ya 8 msimu huu.Mwanzo walishikwa bahati yao