man utd ni bora kwao wasiwepo top 5 maana naskia uefa msimu ujao epl wanapeleka team 5 sio 4 tena
kutokuwepo top 4 itawapa chance ya kutengeneza tena squad under pressure yakukuwa in much fixtures and abstaining several injuries na kupisha wakuu ( INEOS) wafanye usafi ndani ya team
from management players to staff and facilities authorities and
system hierarchy
man utd inahitaji kuondoa watumishi hewa wote kwanzia kwenye kikosi wabaki ma young kina garnacho amad maino mount holjlund bisaka dalot antony pengine na bruno ila waliobakia peleka on loan au uza