Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It is misappropriation of prayer resource to pray for UTD to get any result that involve point dropping from an opponent under concern (eg. this weak team of hens).
 
Misimu miwili mizima hatuoni nini kipara anataka kufanya uwanjani, Kifupi hakuna mwanga wa nini jamaa anataka kucheza ni papatu papatu tu hivyo hivyo siku zinasonga.
 
UEFA ndio wameshindwa kuweka ratiba ya mechi moja kuchezwa saa 1 na nyengine saa 4.

Wamezingua

Man city vs real
Arsenal vs bayern

zote ni must watch
 
Ni suala la mda tu tutaamini wote kwamba kipara anatupotezea muda tu yeye pamoja na genge lake. Hata timu za second division hazichezi huu mpira nonsense.
Taratibu mashabiki wataanza elewa ukweli mchungu kuwa hapa hakuna timu kocha management wala passionate ya mpira

ni ujanja ujanja plus biashara na historia ndicho kilichobaki
itachukua muda man utd kufika level za hao waliopo top 3

sasa hiv top 3
Liverpool
Arsenal
Mancity

wanauwakika wakuchukua 7/9 points from man utd
man city took 9
Liverpool takes 7
Arsenal is gonna demolish this embarrassing team
kuna kipigo kizito kinakuja labda huruma itendeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…