kwa kuangalia situation tulionayo unadhani kipi kitangulie kati ya :
- mwalimu mpya
- au wachezaji wapya, kwa maana tufanye upasuaji alioupendekeza rangnick kwa kuondoa wachezaji wasiokuwa sahihi huku tukibaki na mwalimu aliyepo.
1.Kwanza UTD inatakiwa fahamika inataka
chezaje {Ama huwa inachezaje kiasili}. Moyes,
LVG, JOSE, OLE, RR Kila mmoja ana Idea yake na Nje ya RR walimu wengine wote wamesajili wachezaji wao na bado wapo kikosini.
Kuna aina nyingi za wachezaji kulingana na Namna mwalimu alitaka cheza sio Asili ya Klabu {
UTD ni Transition Based Team}
2.Transition haimaanishi tutegemee tu Counters lazima tuwe tunacontrol Mechi.
Bayern ya Jupp na
Liver ya Kina Mane/Firmino/Salah.
Tofauti na Timu ya Kumiliki zaidi Mpira ni Zile Risk na Mikimbio mingi kwenda kushambulia Kwa hiyo lazima Pia tuwe na
CM's Wazuri kaa na Mpira na Punda Mmoja mwenye akili.
Bayern walikuwa na Toni + Bastian, Anchor wao Martinez , Liver Wijnaldum + Hendo, Anchor wao Fabinho. Wings lazima wawe na Uwezo Mkubwa wa 1v1.
Ribery/Robben +
Mane/Salah. na
FB's Ni muhimu zaidi Wale wana
Lahm/Alaba huku
TAA/Robbo.
UTD Sasa! Mifano juu hapo kuonyesha timu zilofika Peak kwa aina ya Mpira tunataka Cheza. Kuna wachezaji wangapi wa Madaraja Hayo ama Potential hiyo. Kifupi Ni kuuza Hili kundi karibu asilimia 75%. Rangnick alikuwa
SAHIHI.
Brighton akiondoka RDZ akija Mwalimu mwingine mabadiliko huwezi ona sana sababu tayari wana Identity yao na Aina ya wachezaji wa kuendana na Identity yao.