Zaidi ya vinega ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHahaha hahaha man u kweli vinega
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndio Man U sasa
it's time nimekubali kuwa hatuna kocha haiwezekaniukawa una ongoza 3 the unabadilisha style yaku park bus unategemea nn hapo
plus Rashford ni very lazy kukaba ni kitu hajuagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jumapili zile 7 tulizopigwa msimu ulioisha Anfield zinaenda kurudiwa tena pale unyumbuni.Tunawaomba sana j2 mpate hata draw...huu ulofa mloonesha leo hzi dk za nyongeza usijirudie tena....mmeniharibia usiku wangu pambafu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jumapili mtacheza wenyewe hatuingizi timu uwanjani.Jumapili tunakuja wazee msikimbie [emoji23][emoji23]
๐๐๐ Haya ameshapika nenda katoe vyombo ukaosheTen hag is cooking
Hakika mkuu ๐Hii ndio Man U sasa
Marehemu amefufukia kwenu ๐I can not believe what i see there
Kuweni na huruma jamani. Kuna watu wanaweza kujidhuru..Jumapili tunakuja wazee msikimbie [emoji23][emoji23]
๐ต๐ต๐ต๐ต๐ต ๐ข๐ข๐ข๐ขPiga kelele kwa The blueโs ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ