Liverpool ni timu dhaifu sana kwa kweli pamoja na ubovu wa manchester united hawana tofauti sana
Mchawi wa EPL ni Pep tu kwa Sasa, manchester city bila Pep ni wepesi sana
Mzee kloop kajichokea km alivyosema anaweza tena kiutani utani akamuachia Pep akabeba Epl