Huyu mwanahisa mpya wa manchester united akimpa kazi Southgate kuwa kocha wa manchester united itaniproove kuwa waingereza wa sasa ni watu wajinga tu
Southgate akiwepewa kazi kuwa maneja wa manchester united basi tutatarajie itachukua miaka mingine kumi na tatu kutafuta taji la EPL
Naomba ziwe tetesi tuu