Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii umechambua....πŸ‘ŠπŸ–πŸ™
 
Nionyeshe mechi ambayo Arsenal kawaweka mabeki 5 kama mimi nilivyowaonyesha mabeki na mech

Hapa ni PEP dhidi ya ARTETA 4 3 3 dhidi ya 5 4 1,
Nilijua tunapiga stori za Mpira ila kumbe unafanya kubishana, Kuna nilichokiandika kuangalia Unafahamu kitu husika ama umeamua tu UBISHI, umekuja na Jibu la kuonyesha Unabishana! {Bielsa na PEP wamepoteza Games zote za 3 CB's!!}
Kwa team hiyo, uwezekano ni mkubwa zaidi kukutana na 3-4-3 au 4-3-3 kuliko 5-4-1


HENRY hapa ni ARTETA dhidi ya CHRIS, 3~4~3 Dhidi ya 3~5~2.
Hakuna asiyefahamu kuhusiana na haya Masuala ya Mifumo! Hiki kinazungumzwa HENRY14 kilitokea baada ya kusemwa kwamba Msimu wa Pili tu ARTETA alikuwa ameshapata Mfumo wake wa kucheza. {Hapo juu Tierney na Cedric wana Ubora Upi kati ya Kushambulia ama kuzuia, Ili Pima Mwenyewe}

Leo Hii mfumo rasmi wa ARTETA ni 4~3~3 ila inakuwa na Miundo Mingi sana kuanzia Build Up! Kupata timu nzuri inahitaji Watu sahihi nyuma ya Pazia {Arteta OUT Mpaka Piers Morgan alikuwamo leo Hii ni hadithi tofauti}

Imetumika nguvu kubwa {Tuna safari ila sio ndefu, Leo Hii ARTETA akiondoka mna sehemu ya kuanzia, Sisi ngoja tufanye GALACTICO'S Ya Uongozi kwanza}
 
Hii game yeah Arsenal tulicheza 5 4 1.

My bad.

Ila huu haukua mfumo rasmi wa Arsenal.

Kitu Arteta alisema wakati anafika ni kwamba anatarget tucheze 4 3 3 ila hakuna watu sahihi. Time Arteta anasema hivyo Eddie Howe alishaswitch to 4 3 3 na watu walewale.

Arsenal tumeanza kua strong baada ya 4 2 3 1.

Games za Bielsa za 3 3 3 1 hazikumpa matokeo, same na Pep ( kama Pep alipata basi haizidi game 1)

Mimi simuoni kocha wenu ni mbovu kisa mfumo ni mbovu kwakua hawezi kutumia watu alionao. Wakina Mustafi chini ya Arteta walifanya Arsenal iconcede goli chache, na tumecheza sana back 3 ili kua compact kipindi hicho.
 
Mbona inagoma kujisajili na kulog in au mpaka mwanzo wa msimu?
 
Interview ya Ole imetukumbusha tena recruitment department yetu ilivyo ya hovyo.

Imetukumbusha kile kile alichokieleza Van Gaal na Jose, natumai na Ten Hag atatueleza kile kile akiondoka.
UTD ina shida kubwa sana Katika Uongozi, Jaribu fikiria Rangnick alisainishwa NDA Wakati anaondoka UTD kuashiria hatakiwi sema chochote kuhusu UTD Hadharani, Rangnick alikuwa anafahamu shida ni mzoefu kwenye Masuala ya Uongozi wa Kimichezo, Ndiye aliyesema tunahitaji "Open Heart Surgery" akasema tunahitaji zaidi ya sajili 10 na alikuwa sahihi.

Ukisajili kundi lote hilo lazima uuze kundi la namna hiyo Pia, Mourinho akasema wakati wa kauli ile ya "Football Heritage" Wamtajie mchezaji wa UTD anaefanya vyema, Wengine hawachezi kabisa baada ya kutoka UTD, Hatuwezi hata Uza Magarasa!

Tizama CITY anao wangapi ARSENAL, CHELSEA, BARCA, BAYERN, et.al Tena anauza bila hata kuwaza na anapata Wabadala wako Poa tu. {Miaka ya Nyuma UTD tunauza Wachezaji BARCA, MADRID, leo hii kuna wachezaji pale hata Champioships hawatakiwi,

ETH siku zote tunasema hakwepi sehemu ya Lawama lakini kwa kuanzia Hatuna UONGOZI na Umekwamisha Mambo mengi sana kwa kuzingatia tu Upande wa Biashara.
 
Ni wale wale tena barobaro boys wanashuka tena leo kuonesha ngarambe safi kabisa vijana wa Sir Jim hawa leo Everton wataumia vibaya sana tena sana.
kosi letu ili hapa twende nalo.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha


My prediction

Manchester United 3 vs Everton 1
 
Nasikia mpaka muda huu Everton wanashauriana waingize au wasiingize timu uwanjani, kweli nimeamini Man Utd leo wanahasira kama vile mbogo alietoka kujeruhiwa na simba.
Bwanyenye Sir Jim Ratcliffe ameawaambia kabisa viongozi wa FA kama Everton leo akipigwa chini ya goli 3 basi hizo points3 wapewe wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…