Nionyeshe mechi ambayo Arsenal kawaweka mabeki 5 kama mimi nilivyowaonyesha mabeki na mech
Kwa team hiyo, uwezekano ni mkubwa zaidi kukutana na 3-4-3 au 4-3-3 kuliko 5-4-1
Hii game yeah Arsenal tulicheza 5 4 1.View attachment 2927319
Hapa ni PEP dhidi ya ARTETA 4 3 3 dhidi ya 5 4 1,
Nilijua tunapiga stori za Mpira ila kumbe unafanya kubishana, Kuna nilichokiandika kuangalia Unafahamu kitu husika ama umeamua tu UBISHI, umekuja na Jibu la kuonyesha Unabishana! {Bielsa na PEP wamepoteza Games zote za 3 CB's!!}
View attachment 2927405
HENRY hapa ni ARTETA dhidi ya CHRIS, 3~4~3 Dhidi ya 3~5~2.
Hakuna asiyefahamu kuhusiana na haya Masuala ya Mifumo! Hiki kinazungumzwa HENRY14 kilitokea baada ya kusemwa kwamba Msimu wa Pili tu ARTETA alikuwa ameshapata Mfumo wake wa kucheza. {Hapo juu Tierney na Cedric wana Ubora Upi kati ya Kushambulia ama kuzuia, Ili Pima Mwenyewe}
Leo Hii mfumo rasmi wa ARTETA ni 4~3~3 ila inakuwa na Miundo Mingi sana kuanzia Build Up! Kupata timu nzuri inahitaji Watu sahihi nyuma ya Pazia {Arteta OUT Mpaka Piers Morgan alikuwamo leo Hii ni hadithi tofauti}
Imetumika nguvu kubwa {Tuna safari ila sio ndefu, Leo Hii ARTETA akiondoka mna sehemu ya kuanzia, Sisi ngoja tufanye GALACTICO'S Ya Uongozi kwanza}
Kwa wiki hii hawa ndiyo wachezaji wanaoongoza kununuliwa.
Bila kusahau mchezaji hupanda au kushuka thamani kulingana na anavyonunuliwa sana au kuuzwa sana.
Mfano: sasa hivi thamani ya Ronaldo ni £12.5m ila baada ya GW4 anaweza kupanda hadi £12.6m kwasababu ananunuliwa na watu wengi.View attachment 1930148
UTD ina shida kubwa sana Katika Uongozi, Jaribu fikiria Rangnick alisainishwa NDA Wakati anaondoka UTD kuashiria hatakiwi sema chochote kuhusu UTD Hadharani, Rangnick alikuwa anafahamu shida ni mzoefu kwenye Masuala ya Uongozi wa Kimichezo, Ndiye aliyesema tunahitaji "Open Heart Surgery" akasema tunahitaji zaidi ya sajili 10 na alikuwa sahihi.Interview ya Ole imetukumbusha tena recruitment department yetu ilivyo ya hovyo.
Imetukumbusha kile kile alichokieleza Van Gaal na Jose, natumai na Ten Hag atatueleza kile kile akiondoka.
Nasikia mpaka muda huu Everton wanashauriana waingize au wasiingize timu uwanjani, kweli nimeamini Man Utd leo wanahasira kama vile mbogo alietoka kujeruhiwa na simba.Ni wale wale tena barobaro boys wanashuka tena leo kuonesha ngarambe safi kabisa vijana wa Sir Jim hawa leo Everton wataumia vibaya sana tena sana.
kosi letu ili hapa twende nalo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Everton 1View attachment 2929371
#JijiemyuNi wale wale tena barobaro boys wanashuka tena leo kuonesha ngarambe safi kabisa vijana wa Sir Jim hawa leo Everton wataumia vibaya sana tena sana.
kosi letu ili hapa twende nalo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Everton 1View attachment 2929371