Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

wanakwambia ukitaka kukiona kinyeo cha kuku basi subiri upepo...
Teh teh teh leo upepo umevuma na tumekiona kinanihii cha Arsenal

teh teh teh teh teh...
BbdAV1OCAAAqngR.jpg:large
 
Chelsea 2

Crystal Palace 1

Washikabunduki mna kazi!
 
kiukweli city ingawa wameshinda ila bado nao nyuma c wazuri km nlivyowadhani. wameruhusu goli mingi sana gemu ya jana. kwa uingereza nw inaonekana timu tishio ila inabidi ijiimarishe beki ili ifanye vizuri mashindano ya ulaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom