Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,809
Take it ease mkuu, mambo mengine unapotezea tu simple.Haya poa kuwa makini, comment nyingine zinakwaza sana. Sio kila mtu JF anatafuta ndoa punguza dhihaka kwa usiowafahamu
Take it ease mkuu, mambo mengine unapotezea tu simple.Haya poa kuwa makini, comment nyingine zinakwaza sana. Sio kila mtu JF anatafuta ndoa punguza dhihaka kwa usiowafahamu
Utani tuAiseeeeeee tatizo sipo posa tatizo je angekubaliwa? Sijui anajiona nani vile kudandia kila kitu
Utani tu
Nasema Manara alikuwa anatania tu. Soga za vijiweniUtani una mipaka mkuu. Ukichekelea utani jukwaa hili utashangaa utani unaendelezwa jukwaa jingine
Mkuu njoo pm nikupe mchongoUkute unaitamani hio chance. Atakuoa wewe mkuu
Angekua anatoa laki5 kwa siku...Aiseeeeeee tatizo sipo posa tatizo je angekubaliwa? Sijui anajiona nani vile kudandia kila kitu
Angekua anatoa laki5 kwa siku...
Halafu uzee alionao sio wa kua na ulimbukeni wa mapenziIla Takadini ana heka heka huyu, Lol
Hapo sasa.Halafu uzee alionao sio wa kua na ulimbukeni wa mapenzi