Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Cha kushangaza kina Trump wanakosolewa mpka na mawazir waliowateua wenyew, lakin bongo tuna Mr. Perfect hatak ata umwambie mvua inanyesha ata km kwel inanyesha.
 
Unafiki mtupu
 
Hivi polepole hajamsikia kakobe?
Kamsikia na anamwelewa kwa maana ndo aliyokuwa anayaongolea Polepole kabla ya kushibishwa, inawezekana amekaa kimya kuunga mkono hizi juhudi za Kakobe kuweka mambo sawa
 
Baadhi ya wahubiri siku hizi hawahubiri neno wanashambulia dola. Yapo mambo mengi ya kuzungumzia Kanisani kwa faida ya waumini na Injili ya Yesu.
Nenda ukawasaidie ww ao waumini kama kweli na ww unayajua ayo maono.
 
Baadhi ya wahubiri siku hizi hawahubiri neno wanashambulia dola. Yapo mambo mengi ya kuzungumzia Kanisani kwa faida ya waumini na Injili ya Yesu.
Kwa hiyo akikosolewa sio injili ya yesu? Unafahamu maana ya injili? Acha ulevi basi
 
Mcben100 mbona umegeuza kichwa cha abali cha huu uzi wako? Ulipaswa kuandika hivi manabii. Sifumbie macho mamlaka inayokiuka Katiba na sheria
.
 
Angalia kauli yake inaukweli kiasi gani.
 
Ni habari nzuri lakini asilimia 90 ya wachangiaji wa uzi huu watakutukana au kukukejeli sababu hawajawahi kuwa Nuru hata siku moja ni wana wa Giza na wamelelewa katika uongo na uzandiki. Usife moyo.!
 
Uchwara kapewa za uso
 
Ungesema manabii wa uongo, maana nabii wa ukweli hawezi kutukana mamlaka iliyowekwa na Mungu.
Hebu taja hapa hilo TUSI alilotukanwa JPM au hiyo Mamlaka . . .

Hata hilo tusi ktk andiko la mtoto Programmer95 sijaliona ...
 
Kama kiongozi wa dini anapotumia uhuru wake kuelezea hali ya nchi ilivyo atakuwa amevuka mipaka na anaitwa mchochezi, Je, inakuwaje kwa kiongozi wa nchi anapoenda makanisani kila mara na kuwambia hao viongozi wa dini na waumini wao kuwa wamuombee!?

Mgonjwa anapohitaji kuombewa huku ameficha uchawi ndani maombi hayo hayawezi kupokelewa mbinguni hata kidogo.

Hivyo itabidi waombaji wamwambie muombewa kuwa akateketeze uchawi wake kwanza ndo aje kwenye huduma ya maombi.

Haiwezekani kila siku mtukufu anazunguka makanisani na misikitini kuwambia waumini wamuombee wakati anayoyafanya yanadhurumu haki za hao waumini wenyewe.

Aanze kuwatendea yaliyo mema hao waombaji na Mungu kwanza ndipo naye aombe kuombewa.
 
Hajitambui huyo achana naye
 
Dah inaumiza kuona wana macho ila hawaoni wana maskio ila hawaskii.wamepoteza dira kabisaa anajipendekeza kwa binadamu
 
Umejuaje kama alichokiingea ni uongo????
Ishi ukiwa unajua hata hao wachungaji na manabii ni sehemu ya raia so wanakuwa affected na matendo ya serikali....kusema neno juu ya uongozi wa serikali ni sahihi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…