Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Kakobe kampa kibano kinachostahili dhalimu huyu mwenye roho mbaya kuliko hata ya shetani.

Na Mwenyekiti wako anapoisigina Katiba ya nchi aliyoapa kuilinda na kuitii, unataka achekewe!

Kakobe ni shujaa kwa kumpa "makavu" Mwenyekiti wako na kumwambia atubu dhambi yake ya kuisigina Katiba, ikiwa inamuelekeza kuwa hii nchi ni ya vyama Vingi, wakati yeye anataka kuierejesha ya chama kimoja kwa mtutu wa bunduki.

Inabidi kila mwananchi wa nchi hii apaze sauti yake kwa nguvu zote ili huyu "dikteta uchwara" aweze kubadili gia angani
 
[HASHTAG]#Jumla[/HASHTAG] manabii wote wako wangapi?
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Achana na vifungu vya biblia..tumia katiba.
By the way Kakobe sio nabii, ni mjanja mjanja flani hivi.
Kakobe angekuwa Nabii wa kweli Lyatonga na Lowassa wangekuwa marais
 
Kuna manabii wapi wahuni tu hawa hawana lolote, unakuta mtu anajiita nabii, sijui nani majina makubwa makubwa halafu unakuta analindwa na cop sijui lile andiko la BWANA asipoulinda mji waulindao wafanya kazi bure huwa wanapita wanasoma katikati ya mistari
Wewe ni wa kupuuzwa hujui kinaongelewa nini hapa
Mtabaki kufanyiwa vimbwanga na hawa madikteta mkidhani mnakufa kishujaa
 
Hizo nchi 12 zinazoongoza kwa GDP ndio hizo zinazotengeneza silaha za kuua waarabu. Maana yake ni kwamba kama silaha zisingetengenezwa na hao 12 countries waarabu wasingeuana. Unalizungumziaje na hili?

Hivi mkuu kwa akili ya mtu mzima unadhani kutengeneza silaha ndiyo sababu hawa watu wanauana? Jambazi akikuvamia we lawama unapeleka kwa aliyemvalisha huku akili yake ndo imemtuma. Hujapita nchi za uarabuni wewe kujionea mwenyewe jinsi watu wanavyoishi bila uhuru. Kutembea unakula tu miezi yao ya mfungo ni kosa la jinai hata kama huamini upuuzi wao. Swala la silaha pembeni wana upuuzi mwigi unafanya kitu unachinjwa au kupigwa risasi mbele ya watu wakisema umekufuru sijui upuuzi gani. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata kitabu kilichoandikwa na mpuuzi zamani, huwezi enda sehemu ka US, Japan, South Korea ukakutana na ujinga wa namna hiyo.

We umeona vita tu ukaconclude wanaletewa silaha, mbona wenye silaha hawauani wao kwa wao na hizo silaha? Uwape watu wawili ng’ombe moja amtumie kujiingizia kipato akatajirika akapata ng’ombe wa pili na mwingine akala yule ng’ombe akafulia utajilaumu wewe uliyewapa ng’ombe au utalaumu kwa matumizi mabaya? Tumia akili kidogo mtanzania
 
Mwenyezi Mungu ni Mwaminifu, atalitimiza neno lake.

Hakuna haja ya mjadala.
 
  1. Kakataza wapi vyama kufanya siasa mkuu? mbona vinatangaza vyenyewe kijitoa? Lakini hata kama ingekuwa kweli kakataza kwani tangu lini CHADEMA imetegemea ruhusa ya dola kufanya siasa? Sie si ndo tulikuwa tunajivunia NGUVU YA UMMA? Au siku hizi dola imeishinda NGUVU YA UMMA? Unakumbuka kwa Mwangosi kule Iringa? hivi Dola ilituruhusu? Unakumbuka yule kijana muuza magazeti aliyeuwawa pale Morogoro? hivi kipindi kile tuliruhusiwa na dola?
  • Tuambizane ukweli mkuu na kuacha kutafuta visingizio kupumbaza wajinga. Chama tangu kiuzwe kwa mafisadi ya CCM kimepoteza mvuto kwa UMMA na hivyo kimebaki kikiwa hakina support tena ya PEOPLES POWER.
  1. Nani kafungwa kwenye viroba mkuu kwa sababu ya upinzani?
  2. Kubomoa nyumba ndo sheria yenyewe inavyotaka mita kadhaa kutoka katikati ya barabara na kama kuna mtu kaonewa si katiba ipo? au mahakama zimefungwa?
  3. Matajiri wanaounga mkono upinzani wakashughulikiwa ni akina nani hao mkuu? walimuunga mkono mpinzani gani?
  4. Kufungia magazeti si ndo sheria inayoruhusu? na sie ndo tunamsihi afuate sheria?
Bandiko Takataka la kufungia mwaka hili
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Unlike
 
Hivi mkuu kwa akili ya mtu mzima unadhani kutengeneza silaha ndiyo sababu hawa watu wanauana? Jambazi akikuvamia we lawama unapeleka kwa aliyemvalisha huku akili yake ndo imemtuma. Hujapita nchi za uarabuni wewe kujionea mwenyewe jinsi watu wanavyoishi bila uhuru. Kutembea unakula tu miezi yao ya mfungo ni kosa la jinai hata kama huamini upuuzi wao. Swala la silaha pembeni wana upuuzi mwigi unafanya kitu unachinjwa au kupigwa risasi mbele ya watu wakisema umekufuru sijui upuuzi gani. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata kitabu kilichoandikwa na mpuuzi zamani, huwezi enda sehemu ka US, Japan, South Korea ukakutana na ujinga wa namna hiyo.

We umeona vita tu ukaconclude wanaletewa silaha, mbona wenye silaha hawauani wao kwa wao na hizo silaha? Uwape watu wawili ng’ombe moja amtumie kujiingizia kipato akatajirika akapata ng’ombe wa pili na mwingine akala yule ng’ombe akafulia utajilaumu wewe uliyewapa ng’ombe au utalaumu kwa matumizi mabaya? Tumia akili kidogo mtanzania
Hujaelewa nilichomaanisha...
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Rubbish!
 
Hamna serikali aiwezi kukurupuka kama unvyotaka labda nikuhulize swali utajuwaje labda ametumwa .japo ni kweli
 
Tubu ni tusi jamani hawa ccm mbona wanashindwa kunitegemea kiakili,acheni kuonyesha udhaifu wenu
 
Ni kawaida hata kisheria. Unaposifiwa huathiliki. Ukitukanwa unaaathilika.
Kakobe ni mpuuzi tu! Hajawahi leta maendeleo yoyote. Hana shule, hana hospitali, hana chuo cha VETA. Mulinganishe na wengine wa Lutheran, R. Catholic, BAKWATA, Mtu kama huyu munampa ushabiki wakati ameponza wale waumini wanaotembea kwa miguu pale mwenge.
Huwezi elewa Kakobe anafanya nini pale kanisani
Kama unahisi shule na vyuo au hospitali ndio maendeleo muulize baba ubaya akwambie pamoja na mashule yaliyopo bado Lumumba kama nyie ni ma-zero brain
Pamoja na mahospitali mliyojenga huduma 0 kabisa
Kakobe anawalisha watu ya mbinguni na kaamua kusema ukweli kwa sisimizi mmoja asiyejua zama zikoje
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
.
Hiyo njia ionekanayo njema machoni pa watu ni kina nani hao. Kuna nguvu kubwa sana ya kipropaganda inayochagizwa nchini kwamba kuna mtu hairuhusiwi kuhoji chochote kumhusu achilia mbali kumuonya. Namna hii ya aina ya maisha kwa binadamu ndio mauti maana amefikia kujitukuza juu ya kila kitu na juu ya yeyote.
Maandiko yanasema hivi pia ili kukufungua fahamu yako kuhusu mamlaka.
.
Waebrania 13
7 Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.
 
Huwezi elewa Kakobe anafanya nini pale kanisani
Kama unahisi shule na vyuo au hospitali ndio maendeleo muulize baba ubaya akwambie pamoja na mashule yaliyopo bado Lumumba kama nyie ni ma-zero brain
Pamoja na mahospitali mliyojenga huduma 0 kabisa
Kakobe anawalisha watu ya mbinguni na kaamua kusema ukweli kwa sisimizi mmoja asiyejua zama zikoje
Hata Tapeli ana wafuasi mkuu, we endelea kumpa support, lakini baada ya kukoswa miaka ya nyuma mara hii sijui kama ataendeleza utapeli. Kama unamwamini Kakobe unatafuta nini JF? Bora aliye kuzimu.

btw. una elimu gani ktk dunia hii? Mbona nahisi uko sekondari bado?
 
Hivi Kakobe anatapeli nini?
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Kakobe ni shujaa wa kufungia mwaka 2017
 
Tuombe Mungu Atujalie Hekima Na Maarifa Kwa Kila Neno Na Tendo Tunalolifanya Vinginevyo Tutaliaibisha Jina La Yesu
 
Back
Top Bottom