Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

KWani kakobe amesema yy ni nabii?kuna sehemu ametoa unabii?kakobe kasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.mshaurini malaika mkuu abadili katiba nch iwe ya chama kimoja kuliko haya anayofanya,sijawah kusikia upinzani kuwa maadui wa nchi kiasi yakusakanywa namna hi
 
Kwa hiyo unataka tuendelee kukaa kimya,kwa kumuogopa mwenyekiti wenu ilhali anahatarisha amani na ustawi wa Taifa letu!!

Ni kipi alichozungumza Askofu Kakobe ambacho sio cha kweli?
Kwa nini mmeamua kuwa wanafiki na wapumbavu kiasi hiki?

Na weye unapaswa KUTUBU
 
Na Mwenyekiti wako anapoisigina Katiba ya nchi aliyoapa kuilinda na kuitii, unataka achekewe!

Kakobe ni shujaa kwa kumpa "makavu" Mwenyekiti wako na kumwambia atubu dhambi yake ya kuisigina Katiba, ikiwa inamuelekeza kuwa hii nchi ni ya vyama Vingi, wakati yeye anataka kuierejesha ya chama kimoja kwa mtutu wa bunduki.

Inabidi kila mwananchi wa nchi hii apaze sauti yake kwa nguvu zote ili huyu "dikteta uchwara" aweze kubadili gia angani
Kaisigina wapi katiba mkuu?
Sema chama kimelegea siku hizi.
 
KWani kakobe amesema yy ni nabii?kuna sehemu ametoa unabii?kakobe kasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.mshaurini malaika mkuu abadili katiba nch iwe ya chama kimoja kuliko haya anayofanya,sijawah kusikia upinzani kuwa maadui wa nchi kiasi yakusakanywa namna hi
Kwani jamaa kuna sehemu kamtaja Kakobe?
Hebu soma tena Mkuu.
 
Kakobe kawaharibu CCM kila MTU anakuja na lake
Una maanisha kakobe ndiye nabii wa uongo?
umetusaidia mkuu mi nilikuwa najiuliza huyo nabii wa uongo ni nani kumbe kuna magenious humu ndani yameshamjua.
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Haya bwana Programmer,nenda kawaguse uone moto....

Sio unaongea tu kama juha.....kawaguse sasa ndio utajua DINI ni opium of the masses...

Wangekuja kukutoa pale Magogoni mchana kweupe wakupige kiberiti hadharani.....

Si una jeshi mzee,na vifaru..haya nenda shika sijui Askofu au Mufti Mkuu nenda kawanyonge au wapige risasi halafu uone kama utachukua round...
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
ishu siyo unabii bali alichokisema.
 
Hata wewe huenda umeingiwa na roho ya shetani. Ukajitwalia maneno ya Mungu ili kutimiza dhamira yako ovu. Unapotumia maneno ya Mungu kwa sababu ya kuwahadaa wana wa Mungu, ni kufuru mbele za Mungu.
 
Kuna manabii wapi wahuni tu hawa hawana lolote, unakuta mtu anajiita nabii, sijui nani majina makubwa makubwa halafu unakuta analindwa na cop sijui lile andiko la BWANA asipoulinda mji waulindao wafanya kazi bure huwa wanapita wanasoma katikati ya mistari
 
Followers wa Mabutu seseko wanashindana kumtetea kwa hoja nyepesi as if ndo wameingia leo kutoka kolomije
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
We Utakuwa nmoja kati ya hao fake. Andiko gani linasema chaguo la wengi ni chaguo la Mungu? Bakieni na siasa zenu, teteeni matumbo yenu achaneni na kudhihaki Maandiko.
 
Kakobe mtu mwenye msimamo cku zote.anajua madhara ya kauli yake lakini ataikabili. Sio mchumia tumbo kama wengine.
angalia mali yake na wafuasi wake ndo utajua mnaibiwa so kauli zake ndo mtaji wake
 
Kwani nabii wa uongo hapa Tanzania ni nani?
Anayechepuka na wake za watu na kuwadunga mimba kama nanihilu.

Huyu ni nabii wa uongo, but kakobe hana michepuko bali ana grease za kulegeza vyuma vilivyokazwa.
 
Back
Top Bottom