Manabii wasifumbiwe macho wanapotukana mamlaka

Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.

Sijasikia mahali Kakobe alipomtukana wala kumkebehi Rais.Kama kiongozi wa Dini wanayohaki kukemea na kuusema ukweli.Tanzania kuna wananchi wanaoabudu Mungu kupitia kanisa lake.

Tanzania haina dini bali Raia wake wanazodini.Na viongozi wa dini wanayohaki kuteta waumini wao.Kama ulivyo n.a. haki ya kumsimfia na kumuabudu Rais wako uwe tayari kuwasikia wanaomkosoa pia.
 
Anayechepuka na wake za watu na kuwadunga mimba kama nanihilu.

Huyu ni nabii wa uongo, but kakobe hana michepuko bali ana grease za kulegeza vyuma vilivyokazwa.
Ushahidi gani unaothibitisha kuwa huwa anawadunga mimba?
 
Baadhi ya wahubiri siku hizi hawahubiri neno wanashambulia dola. Yapo mambo mengi ya kuzungumzia Kanisani kwa faida ya waumini na Injili ya Yesu.
Kwa hiyo Yule askofu aliyesema madhabauni watu walipe kodi kule Zanzibar ,naye aadhibiwe kwa kuwaambia watu mambo ya kodi kanisani na kufanya mambo ya siasa za uhimizaji kodi madhabauni????
 
Hahaha kweli kisu kimegusa mfupa Kakobe kafunga mwaka vizuri, watu mipovu inawatoka
 
Kaisigina wapi katiba mkuu?
Sema chama kimelegea siku hizi.
Nyie mapumbafu ndiyo mnaotaabisha taifa mpaka Leo....yani huoni utumbo anaoufanya???
Vyama kuzuiwa kufanya siasa wakati yeye kila cku yupo majukwaani na ccm wenzake wakifanya siasa,kupiga watu risasi ,kufunga watu kwenye viroba,kubomolea watu nyumba kisa ni washabiki WA upinzani huoni,kufilisi matajiri kisa wanaunga mkono vyama pinzani huoni,kufungia magazeti kisa yanamwambia ukweli ,

Daaaa,a lot of foolish things you can mention....halafu jitu moja pumbafu kama wewe eti linauliza kasigina wapi katiba!!!!
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Kila anayemkosoa rais et anatukana, mshaurini kiongozi wenu.
 
Asante kwa kunukuu biblia,kimbia na iponye nafsi yako.usihukumu mathayo 7:1-2 umemuhukumu kuwa wauongo,ww unaukweli up?alikwambia ni muongo nani?mwache mwenye watu awahukumu.

~Unatabia ya uchochezi,kama mkulu hakuona tatizo ktk hilo vp ww uone?toa boriti ndio uone vibanzi vya wenzako.ww unamadhaifu kibao na ulisha wakashifu wengi wala watu kama ww hakuchochea km unavo fanya.

~Yaache ya wat tafuta yako
 
Habari wakuu,

Tunaomba Serikali isifumbie macho manabii wote wanaotukana mamlaka ambazo zimewekwa na watu wengi kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu.

Kumeibuka na tabia mbaya ya viongozi wa dini kutafuta kiki kwa kutukana mamlaka ili wapate watu kwenye ibada zao ili kuongeza sadaka kwan watanzania wengi wanapend umbea.

Juzi tumeshuhudia kiongozi mmoja wa dini akimtukana na kumkebehi Mh rais. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimchukulie hatua kali kwani kitendo cha kumdhalilisha rais ni sawa na kutukana watanzania wengi tuliomchagua kwa kura nyingi za upendo pia ni sawa na kuitukana nchi yetu.

Naomba ninukuu maneno ya bibilia Mith 14:12 “Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti”
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Kwa uzi huu. Inaonyesha Hata wewe ni nabii.
 
Nyie mapumbafu ndiyo mnaotaabisha taifa mpaka Leo....yani huoni utumbo anaoufanya???
Vyama kuzuiwa kufanya siasa wakati yeye kila cku yupo majukwaani na ccm wenzake wakifanya siasa,kupiga watu risasi ,kufunga watu kwenye viroba,kubomolea watu nyumba kisa ni washabiki WA upinzani huoni,kufilisi matajiri kisa wanaunga mkono vyama pinzani huoni,kufungia magazeti kisa yanamwambia ukweli ,

Daaaa,a lot of foolish things you can mention....halafu jitu moja pumbafu kama wewe eti linauliza kasigina wapi katiba!!!!
  1. Kakataza wapi vyama kufanya siasa mkuu? mbona vinatangaza vyenyewe kijitoa? Lakini hata kama ingekuwa kweli kakataza kwani tangu lini CHADEMA imetegemea ruhusa ya dola kufanya siasa? Sie si ndo tulikuwa tunajivunia NGUVU YA UMMA? Au siku hizi dola imeishinda NGUVU YA UMMA? Unakumbuka kwa Mwangosi kule Iringa? hivi Dola ilituruhusu? Unakumbuka yule kijana muuza magazeti aliyeuwawa pale Morogoro? hivi kipindi kile tuliruhusiwa na dola?
  • Tuambizane ukweli mkuu na kuacha kutafuta visingizio kupumbaza wajinga. Chama tangu kiuzwe kwa mafisadi ya CCM kimepoteza mvuto kwa UMMA na hivyo kimebaki kikiwa hakina support tena ya PEOPLES POWER.
  1. Nani kafungwa kwenye viroba mkuu kwa sababu ya upinzani?
  2. Kubomoa nyumba ndo sheria yenyewe inavyotaka mita kadhaa kutoka katikati ya barabara na kama kuna mtu kaonewa si katiba ipo? au mahakama zimefungwa?
  3. Matajiri wanaounga mkono upinzani wakashughulikiwa ni akina nani hao mkuu? walimuunga mkono mpinzani gani?
  4. Kufungia magazeti si ndo sheria inayoruhusu? na sie ndo tunamsihi afuate sheria?
 
It's true kutukana Siyo tu mamlaka hata kwa mtu wa kawaida, lakini sidhani na wala siioni dhambi ktk kusema ukweli ktk Kristo Yesu
 
Hako kamsemo “chaguo la mungu” hua kananichekesha sana. Mungu yupi? Total bull shit. Huu upuuzi hua wabongo mnautumia sana kudanganya vilaza ambao wamedata dini zimewachanganya hawaoni ukweli, wao kila kitu mungu mungu, huyu mungu waafrika mmemkazania sana ila mnaongoza kwa umasikini na akili mbovu kichwani, labda mjifikirie mara mbili kama huyu mnayekaa mnamfuata 24/7 ndiye sahihi kweli. Maana ahadi zake tamu lakini ndo mnaongoza kwa shida. Fumbueni macho muone its pure bullshit, story za spiderman.

Nchi zenye asilimia kubwa ya watu washika dini karibua zote ni either njaa tupu, vilaza wengi, au vita, angalia nchi za waarabu wanavyochinjana na kuuza watumwa daily. Alafu nchi ambazo idadi kubwa hawana dini mfano almost top 12 countries zote zinazpongoza GDP, wana elimu ya hali ya juu, amani kuliko hizi nchi nyingine, opportunities kibao. Hahaha kila kitu kipo wazi only a fool wouldnt recognize that
 
Wakiwasifia ni manabii wa ukweli, wakiwakosoa ni wanabii wa uongo, huyo ndugu yenu angekuwa chaguo la Mungu angeshinda kwa 100%
Ni kawaida hata kisheria. Unaposifiwa huathiliki. Ukitukanwa unaaathilika.
Kakobe ni mpuuzi tu! Hajawahi leta maendeleo yoyote. Hana shule, hana hospitali, hana chuo cha VETA. Mulinganishe na wengine wa Lutheran, R. Catholic, BAKWATA, Mtu kama huyu munampa ushabiki wakati ameponza wale waumini wanaotembea kwa miguu pale mwenge.
 
It's true kutukana Siyo tu mamlaka hata kwa mtu wa kawaida, lakini sidhani na wala siioni dhambi ktk kusema ukweli ktk Kristo Yesu
Unaleta Kristo kwenye serikali? Waislamu unawapa nafasi gani?
 
Hako kamsemo “chaguo la mungu” hua kananichekesha sana. Mungu yupi? Total bull shit. Huu upuuzi hua wabongo mnautumia sana kudanganya vilaza ambao wamedata dini zimewachanganya hawaoni ukweli, wao kila kitu mungu mungu, huyu mungu waafrika mmemkazania sana ila mnaongoza kwa umasikini na akili mbovu kichwani, labda mjifikirie mara mbili kama huyu mnayekaa mnamfuata 24/7 ndiye sahihi kweli. Maana ahadi zake tamu lakini ndo mnaongoza kwa shida. Fumbueni macho muone its pure bullshit, story za spiderman.

Nchi zenye asilimia kubwa ya watu washika dini karibua zote ni either njaa tupu, vilaza wengi, au vita, angalia nchi za waarabu wanavyochinjana na kuuza watumwa daily. Alafu nchi ambazo idadi kubwa hawana dini mfano almost top 12 countries zote zinazpongoza GDP, wana elimu ya hali ya juu, amani kuliko hizi nchi nyingine, opportunities kibao. Hahaha kila kitu kipo wazi only a fool wouldnt recognize that
Hizo nchi 12 zinazoongoza kwa GDP ndio hizo zinazotengeneza silaha za kuua waarabu. Maana yake ni kwamba kama silaha zisingetengenezwa na hao 12 countries waarabu wasingeuana. Unalizungumziaje na hili?
 
Back
Top Bottom