vCTRMA
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 306
- 102
nani mjinga mkuu???Wajinga ndiyo waliwao
mkuu nahisi ni kwasababu huelewiwazungu wameyafunga makanisa kabisa,kama huamini nionyeshe sister wa kikatoliki wa kizungu kijana
ulaya makanisa yapo tena mengi tu na neno la Mungu linahubiriwa sana tu,...shida iliyopo ulaya ni kubwa zaidi kuliko afrika,...kuna manabii wauongo wengi na mambo ya ajabu sana ambapo shetani anavuruga sana watu ulaya........
ila makanisa yanayohubiri kweli ya MUNGU yapo na watu wameokoka......ila ulaya wamekamatwa sana na mambo ya kidunia,.vijana wengi hawaendi makanisani kma nchi zetu za afrika...hii ni kutokana na misingi ya demokrasia iliyojengwa ya kishetani ili kupitisha mambo mabaya kirahisi......huku kwetu watoto huwa tunawalazisha kwenda kanisani tangu mdogo hadi anakua anakulia ktk misingi ya njia za kumjua MUNGU,..kule kma mtoto hataki kwenda church umlazimishi.....na baadae mtoto anakua huku anapeenda vitu vyake binafsi bila kuingilia demokrasia ya mtoto husika....hii inaharibu watoto wengi mno maana imepelekea watoto wengi kupenda movies na misic wa kidunia....ambapo sasa shetani kawabana kwenye hiyo nyanja haswahaswa,......all days ni muvi na music hatimaye wanakuwa addicted na maisha ya wasanii,.....na maisha ya hao wasanii ni kuvuta bangi kwenye video zao na maisha ya starehe mwanzo mwsho......hayo mambo yameharibu sana watoto na hasa USA mambo ya anasa yanashika kasi kila kukicha hawana wanalowaza jema dhidi ya Mungu....na neno la Mungu limekuwa adimu sana nchi zao maana wanaohubiri dini ni fake preachers wengi zaidi kuliko wa ukweli.....maisha wanayoishi hao mapreachers ni sawa na wamataifa tu wasiomjua MUNGU.......hiyo ndo sababu ya nchi za ulaya kuwa mbali na MUNGU ila watumishi wa MUNGU wapo na neno linahubiliwa sana tu ila watu masikio magumu..........huku kwetu tupo tofauti na nchi zingine neno la MUNGU liko kila kona japo wanaotumiwa na ibilisi kuchanganya watu wapo pia ........ila neno linahubiliwa sana...........
na mnavyosema makanisa yatu ya walokole yamrkuwa kma uyoga na kutudhihaki sana na kejeli ni mambo ya kawaida sana.......na inakua hivyo ndo ujue kuwa ndo mwsho wa dunia unakuja/upo........
mathayo 24;14
tena habari njema ya ufalme itahubiliwa katika ulimwengu wote,kuwa ushuhuda kwa mataifa yote,hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.....
neno linahubiriwa dunia yote mkuu hata ukikejeli kuwa wajinga ndo waliwao,its ok
tunahakika na maisha ya duniani na mbinguni pia......