Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

Watu wanaweza kutafuta pesa, lakini wanashindwa kuitafuta imani ya kweli na ufalme wa Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.
Skuiz watu wanatafuta muujiza tuuu wanasahau kua muujiza wako uo ndani ya imani yako. Hawa manabii watapeleka wengi motoni maana mtuu anaenda tuuu hajui neno wala nini

Ni heri mwalimu akufundishae neno ujue jinsi ya kujifungua kwenye vifungo vyako kuliko hawa wanaokup muujiza tuuu ukitoka hapo maish yako hata hyana tofauti katika ulimwengu wa roho unakua bado una vifungo kibao
 
Kwa wadada, mabinti na wote ambao hawako kwenye ndoa, Kuna semina imeandaliwa pale ubungo plaza tar 9 jmosi inahusu maombezi ili mungu awape wenza. Nimemsikia Mchg Katunzi akiwaonya MSIENDE/MSIHUDHULIE kabisa kinachofanyika huko ni udhalilishaji wa kijinsia. Dada zetu shitukeni na manabii wa kuombewa upate mune mtaliwa mtadhalilishwa utu wenu, tulieni bna
#MarineSpirits

bde18a1b8fb7a996b805959c28872af0.jpg

0f1e21fc07535b407d3d47480b63e547.jpg
 
Na wengi wanaolizwa ni akina mama,.....SI KILA AEMAE BWANA BWANA ATAKAYE UONA UFALME WA MBINGUNI......
Kuna siri kubwa sana kati ya Mwanamke na Mwanamme. Kiufupi, Wanamme walioko labor au waliojifungua watoto wa kiume ndio wanaielewa siri hii.

NB; Unavyoona kwa macho wanawake wakizaa, ndivyo ilivyokwa upande wa wanamme pia. Kama wewe ni mwanamme jiulize, Je umeshazaa? Je una Mme au Mchumba? Je una mimba? ( Siongelei Ushoga hapa ; Hapa mashoga wametumia concept hii kupotosha kama wanavyofanya Magaidi)

Anyways... Jeremiah 33:3 , God's time is the best. Wait for your time to understand these great things..
 
Skuiz watu wanatafuta muujiza tuuu wanasahau kua muujiza wako uo ndani ya imani yako. Hawa manabii watapeleka wengi motoni maana mtuu anaenda tuuu hajui neno wala nini

Ni heri mwalimu akufundishae neno ujue jinsi ya kujifungua kwenye vifungo vyako kuliko hawa wanaokup muujiza tuuu ukitoka hapo maish yako hata hyana tofauti katika ulimwengu wa roho unakua bado una vifungo kibao
Ninavyoelewa Mimi, MTU yeyote ambae kadhamiria kweli kuutafuta USO wa Mungu au wale tayari waluokwisha uona eg. Wachungaji, MANABII, Mitume... Lazima Mungu atawafundisha jinsi ya kuongea, kuvaa, kula, kutembea, kuishi n.k ; lazima maisha yako yatakuwa unique

Check hawa jamaa sasa... Wanakimbizana na watu wa bongo fleva, wanamziki, wanasiasa, matajiri,

Na wanavaa mavazi au fashion wasizozielewa undani wake ( Uovu wake) ...

aa74de077a98ff146228d3b95e165423.jpg

Check wake zao , matatuu miguuni..

539d99f109482c1b3932af99b819347c.jpg

Cheki marafiki wa wake zao, mipasuo..

72f81f7c0aa01279eedd39f798044d31.jpg
 
Wajinga ndiyo waliwao,wazungu wameyafunga makanisa kabisa,kama huamini nionyeshe sister wa kikatoliki wa kizungu kijana
 
Ninavyoelewa Mimi, MTU yeyote ambae kadhamiria kweli kuutafuta USO wa Mungu au wale tayari waluokwisha uona eg. Wachungaji, MANABII, Mitume... Lazima Mungu atawafundisha jinsi ya kuongea, kuvaa, kula, kutembea, kuishi n.k ; lazima maisha yako yatakuwa unique

Check hawa jamaa sasa... Wanakimbizana na watu wa bongo fleva, wanamziki, wanasiasa, matajiri,

Na wanavaa mavazi au fashion wasizozielewa undani wake ( Uovu wake) ...

aa74de077a98ff146228d3b95e165423.jpg

Check wake zao , matatuu miguuni..

539d99f109482c1b3932af99b819347c.jpg

Cheki marafiki wa wake zao, mipasuo..

72f81f7c0aa01279eedd39f798044d31.jpg
Mungu haangalii matendo anaangalia moyo. #Wao wasema
 
Mungu haangalii matendo anaangalia moyo. #Wao wasema
Usipotoshe , Mungu anaangalia NJIA ZAKO NA MATENDO YAKO. MOYO WAKO NDIO UNAOTOA NJIA ZAKO NA MATENDO YAKO.

KUMBUKA , KIMTOKACHO MTU NDICHO KILICHO JAA NDANI YA MOYO WAKE.
 
Namuangalia hapa Mzee wa Upako; Watu wanakwenda pale mbele kumtunza pesa, wakifika wanagonga mikono kisela ( kama majah people) , kisha wanampa hela; wakimaliza tena wanajifuta na mikono usoni...., Hii ni hatari sana
 
Kwa wadada, mabinti na wote ambao hawako kwenye ndoa, Kuna semina imeandaliwa pale ubungo plaza tar 9 jmosi inahusu maombezi ili mungu awape wenza. Nimemsikia Mchg Katunzi akiwaonya MSIENDE/MSIHUDHULIE kabisa kinachofanyika huko ni udhalilishaji wa kijinsia. Dada zetu shitukeni na manabii wa kuombewa upate mune mtaliwa mtadhalilishwa utu wenu, tulieni bna
hapo kwenye red hiyo semina anayozungumzia katunzi kuna nabii na mtume mmoja muhuni yupo uko kitunda gani sijui,.....
hiyo ya ubungo inayozunguimziwa radio wapo ipo ubungo ktk kanisa la lutherani,.....na imeandaliwa na wamama wa kanisa hilo kwa ajili ya vijana wote wanaume na wanawake mwalimu ataefundisha ni mitimingi wa EAGT,........hawa hawana shida shida ni yule nabii nae anatangaza tangazo lake radio wapo pia kuwa ni semina yake ni ya single ladies pekee boys wasiende.....yupo kitunda if am not mistaken
tutawatambua kwa matunda yao.......ndo kma haya
 
hivi watu wanajua maana ya nabii ni nini??????????
tatizo watu hawasomi neno la MUNGU,..jamani BWANA YESU aliyasema haya yote
tubaki ktk misingi kma kweli tunania ya kwenda mbinguni......
ukisoma
mathayo 24
ukisoma sura yote, YESU anazungumzia kuhusu habari za siku za mwisho.......
nahao manabii amewazungumzia ktk mstari wa 11.....anasema watatokea manabii wa uongo wengi na kudanganya wengi
mathayo 7;15
YESU anasema tena tujihadhali na manabii wa uongo
16;anasema lakini tutawatambua kwa matunda yao......tuliosimama ktk njia ya kumtafuta KRISTO YESU hatuyumbishwi na vinavyoibuliwa kila kukicha...kila kitu kinachoibuka now tumetahaDhalishwa ktk biblia....neno linasema kila kitu
na YESU Alisema alijua kuwa watu wagumu kuelewa na kudadisi na kuishi ktk misingi ya maandiko yake
mathayo 13;43b
akasema mwenye masikio na asikie kma hutaki basi...
now days watu wapo mbali na MUNGU watu wanaangalia personal life na vitu vya ulimwengu huu bila kujua kuwa vitu tutaviacha na roho zetu zitakapoitajika mbinguni sijui watu wataenda kujibu nini mbele za MUNGU..watu wanampenda Mungu kimazoea na kwa midomo tu
ila mioyoni mwao Mungu hajajaa ipasavyo.......
MATHAYO 15;8
Watu hawa huniheshimu kwa midomo ,ila mioyo yao iko mbali nami
Yesu alisema kuwa watu wanampenda midomoni ila vitendo hawamfati Kristo...Yesu aliulizwa tumeacha vitu vyetu tumekufata tutapata nini ,.YESU AKAJIBU mtapata UZima wa milele na dunia mara100,..
tubadilike ndugu zangu ulimwengu uko ukingoni,yaliyosemwa na YESU kuhusu siku za mwiso yote yanatimia,..ukisoma mathayo 24 sura yote utapata jibu nalozungumzia hapa,....paulo mtume alisema kuhusu hizi siku za mwsho na yote yametimia,.....tunasubiri nini kubadilika.........
nawahurumia wanaoangaikia vitu/mali za kupita na kuangaika angaika huku na kule eti kutafuta unabii wa maisha yao......

Mungu haangalii matendo anaangalia moyo. #Wao wasema
matendo hufanya kiujazacho moyo,.....
matendo huwa yanadhihirisha mambo ya moyoni,.ukiwaza moyoni mwako uasherati mwili hukamilisha kwa vitendo ila jambo limetokea moyoni,.....
Yesu alisema ukimtamani mwanamke umekwisha kuzini nae moyoni mwako..........huwez kujaza mambo machafu moyoni then ukaiushi maisha matakatifu........uovu uliojaa moyoni utarihilika tu
 
Back
Top Bottom