Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Duuh!Anaitwa nambii frank wa kanisa la shiloh lipo tanga na kapunguza bei ilikuwa laki 3
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wengi waongo... Ndio hawa sasa
Duuh!Anaitwa nambii frank wa kanisa la shiloh lipo tanga na kapunguza bei ilikuwa laki 3
Sasa MTU kama huyo, anatofauti gani na mganga wa kienyeji?Anaitwa nambii frank wa kanisa la shiloh lipo tanga na kapunguza bei ilikuwa laki 3
Yan anamambo meng sana na baadh ya kugha zake zinakera ...humu jf kuna uzi wakeSasa MTU kama huyo, anatofauti gani na mganga wa kienyeji?
Siku moja nilimsikia Startv akiamrisha malaika waende wakaue MTU kwa lazima yake, la sivyo anawauwa.
Watanzania wengi hawamuelewi Mungu na wala hawataki kutubu madhambi yao, ili rehema na neema zake ziweze kupenya ndani ya Mioyo yao.
Hawa jamaa ndio waharibufu wakubwa wa Taifa letu;
Tatizo hata viongozi wa Serikali wanashindwa kuwabana kutokana na kukosa Uelewa, pamoja na kuishi kwa hofu, kwamba huenda pengine wakawadhuru.
Ila siwalaum wagonjwa wanaokimbilia mana ukishaumwa bwana hata ukiambiwa hiki kinatibu unaambin tu ili mrad upone basiDuuh!
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wengi waongo... Ndio hawa sasa
Hahaaaa...kweli wajinga ndo waliwao..Sadaka za nyumbu zipo kwanini asile bata
Hawa unaowaona , ni wale konkodi; wapo wengine hawana appearance hizi na wanajifanya watakatifu.Duuh!
Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wengi waongo... Ndio hawa sasa
Ni kweli kwa matunda yao tutawatambua...Hawa unaowaona , ni wale konkodi; wapo wengine hawana appearance hizi na wanajifanya watakatifu.
Utawatambua kwa Matunda ya Mungu ( Utiifu, Wanachoabudu+kusujudu+Uelewa+Contentment+Humility+ Endurance, Upendo, Dhamira etc)
Mana yake ni nabii wa uongo ndio hao wanaoita bwana bwana lakini hawatambulikiKama Nabii anakuwa shaped na ulimwengu huu kwa kila kitu, maana yake nini?
![]()
Kama Nabii anakuwa shaped na ulimwengu huu kwa kila kitu, maana yake nini?
Aya...Wenzako hawaanzi hivyo; Nenda kawafuate wakupe utaalam
Hawa jamaa, wanaamini katika nguvu za giza walizonazo ; Wanawahadaa watu kwa hizo nguvu; ukiwasikiliza kwa makini... Hakuna neno la Mungu wanalolitoa zaidi ya Hekima ya kidunia
Bila shaka hata wewe pia utakuwa mfuasi wake. Akili imelala, huwezi kuelewa hata nikikueleza. Endelea kupanda upepo...Wewe ni Muongo.toka lini Prophet urbert Angel hatumii neno la MUNGU ? na nanii kakuambia life style yake inategemea sadaka ? unajua kwamba ni mfanyabiashara mkubwa ? the guy is stil young now niambie utakusanya sadaka shingapi ndani ya muda mfupi alioanza huduma kuweza kumnunulia mkewe lamboghini ? unatumia maandiko ghani kuwaita watumishi wa MUNGU ni wauongo ? Na je ni dhambi mtu tajiri kumtumikia MUNGU ? alafu kingine umedanganya hayupo christ embassy anahuduma yake spirit embassy
Bila shaka hata wewe pia utakuwa mfuasi wake. Akili imelala, huwezi kuelewa hata nikikueleza. Endelea kupanda upepo...