Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

"Shuffering and shmiling " by fela kuti ulizungumzia mambo haya
 
Watu wengi sana wanaangamizwa sana na hawa watu bila kuelewa.
mkuu watu wanapotezwa sana wakijua wapo njia sahihi,.....shetani kafunga watu maskio na mioyo ili azd kupata watu zaid na zaidi,...
nahii inakuja kwasababu watu hawachunguzi maandiko,.....
ukiipenda dunia kumpenda Mungu hakumo mndani yako,......
 
Wa Tanga nafikiri. Yani kuna jirani anamsubiri kwa hamu zote anasema hajali gharama. Uone ni jinsi gani watu walivyo na njaa ya uponyaji ila ndiohivo wanaangukia kwa hawa walugaluga
Valentina ujue watu wanapona kweli. Nina shuhuda nyingi tu..imani ni kitu kingine..
Ukienda india mungu wao ni N'gombe .. Wewe ina make sense?
Mfalme suleimani wa kwenye bible alioa wanawake kibao..
 
mkuu watu wanapotezwa sana wakijua wapo njia sahihi,.....shetani kafunga watu maskio na mioyo ili azd kupata watu zaid na zaidi,...
nahii inakuja kwasababu watu hawachunguzi maandiko,.....
ukiipenda dunia kumpenda Mungu hakumo mndani yako,......
Kaka unasema hivyo kwa sababu hujawahi kupatwa na tatizo, sikuombei mabaya .. Ila wewe yaache mambo kama yalivyo.. Watu wana shida watu wanaenda hadi India wanaambiwa huu ugonjwa nendeni tu mkapumzike msubiri kufa .. Hapo ndio utaanza kutafuta wachungaji na stori za uponyaji..
Mimi nina shuhuda mtoto wa dada alitakiwa abadilishwe m figo nadhani na alishaenda India na akapimwa.. Ila wakati anangoja trip ya pili akawa anapelekwa kwa hawa wachungaji wengine wanakuja nyumbani wanapiga maombi.. Siku ya siku inafika dogo anaenda kupima anaambiwa kapona.. Sasa ushuhuda kama huu nimeona mimi mwenyewe ndio maana sitaki kudharau mtu yoyote.. Wewe fanya maisha yako ila usihukumu..kama unaona wanaigiza na wewe jifanye unatoa mapepo uone balaa lake .. Yatakuingia na utapotea kabisa
 
Valentina ujue watu wanapona kweli. Nina shuhuda nyingi tu..imani ni kitu kingine..
Ukienda india mungu wao ni N'gombe .. Wewe ina make sense?
Mfalme suleimani wa kwenye bible alioa wanawake kibao..
Hata kwa sangoma , watu huwa wanapona. Shetani anaouwezo wa kumponya MTU mwili wake , lakini sio roho/ Moyo wake.

Hata madaktari ukienda hospital wanao uwezo huo lakini hawawezi kuponya roho/ Moyo.

Yesu au Mungu wanaouwezo wa kutibu both na kukupa Afya njema kabisa, kimwili na kiroho.

Ukiona shetani kakuponya kimwili, jua kuwa ni kwa muda tu, na hapo baadae lazima utaingia gharama kubwa sana kimwili + kiroho.

Ushauri; Usiishi kwa hisia ( kwa kuongozwa na unachokiona au kukisikia ) ishi kwa uhalisia (Uelewa).

Life is full of meanings. Ukiwa na Yesu atakuonyesha na kukufundisha mambo mengi magumu ambayo ni mageni kwako ( Jeremiah 33:3)

Kumbuka, " Asiye elewa maana , Hana Maana"

It is written, " The righteous shall live by Faith, not by sight "
 
Amen!!
Ila sijaona sasa tunachopingana.. Hao manabii wanamhubiri Yesu na mimi sijakataa
 
Sijamfatilia kivile zaidi ya kuambiwa anategemewa kuja Arusha na ili kumuona utoe 250,000
NIshampata kwa Dar es salaam ameingia kimyakimya,panda basi mpaka chanika,kisha tembea kwa miguu kama unaelekea Kisarawe,utaona vibao vya kwaheri Dar es salaam vya kijani vikubwa,mbele kidogo upande wa kushoto amenunua eneo kubwa na ameanza kufanya makaveli r kelly na maria kerry
 
shetani anaudanganya ulimwengu na nia yake kubwa ni kwenda na wadanadamu wengi ktk moto wa milele,.......
hawa manabii mnaowasema je mnasema mnajua sifa za kibiblia kuhusu mtu kuwa nabii????
biblia inasema ktk
WAEFESO 4;17
Basi nasema neno hili,tena nashuhudia katika BWANA ,tangu sasa msienende kama mataifa waenendavyo,katika ubatili wa nia zao,..........
huweza kuishi ktk njia za kumpendeza MUNGU alafu tena uwe kiongoz unaongoza watu then maisha yako yawe kma watu wa dunia,unyoe viduku nk ,.......Msaisha ya kuishi ktk njia za Kuishi ktk misingi ya MUNGU iko wazi.,...
ukiipenda dunia kumpenda MUNGU hakumo ndani yako,.....hao manabii wanaonyoa vibwenzi(viduku) sidhani kma wanafanya kaz ya Mungu au kaz zao binafsi kwasababu hawapo kibiblia....
ila pia sishangai kwasababu yaliyosemwa na Bwana YESU kuhusu habari za siku za mwisho yote yametimia,...ukisoma hiyo habari ktk mathayo 24 inaeleweka,....
MATHAYO 24;11-12
na manabii wengi wa uongo watatokea,na kuwadanganya wengi
12;na kwasababu ya kuongezeka maasi,upendo wa wengi utapoa.
MATHAYO 7;15-16
jihadhalini na manabii wa uongo,watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo,walakini kwa ndani ni mbwa mbwa mwitu wakali
16;mtawatambua kwa matunda yao. je watub huchuma zabibu ktk miiba au tini ktk mibaruti???
vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri,na mti mwovu huzaa matunda mabaya..
tatizo watu wanachanganywa sana siku hizi duniani ni kwasababu watu wanaitwa na kuvutwa kwanguvu tamaa za pesa na kutokujua maandiko,....
mke wa nabii anavaa surualiii???????
hadi hapa tu tayari ni shida hamna neno la Mungu hapo,.......biblia inazuia kuvaa suria suruali na ni machukizo mbele za MUNGU leo mkee wa nabii avae suruali,....hapo kuna shida,......
1YOHANA 2;15
Msiipende dunia wala mambo yake yaliyomo ktk dunia.mtu akiipenda dunia kumpendaq Baba hakumo ndaNI YAKE.....

Hao manabii wanampendaje MUNGU na kufanya kazi wake wakati mambo ya ulimwengu yamewajaaaa,..
nabii ananyoa kiduku then bado mnnasema wanampenda Mungu....
MATHAYO 6;24,...hakuna awezaye kutumikia mabwana wawili,..yaani MUNGU na mali
hao jamaa wanaenda kudesign vyuti ulaya vya gharama kubwa zanini........wanahangaikia vitu vya kupita2 duniani
tatizo watu siku hizi hawasoma biblia na kujua maandiko ndo tatzo ndo maana watu wanachanganywa na mambo ya ajabu ajabu yanaendelea kutokea,.....yatatokea zaidi ya haya na watu watazd kuvutwa na kuchanganywa na baadae watu wataacha neno la MUNGU la kweli na kwenda upotevuni bila kujua kwamaana wameacha misingi mikuu ya MUNGU ya kutumia neno lake ili wawe sehemu sahii na Mungu ataawaacha watumie akili zao binafsi
na hapo ndipo ibilisi atatwaa wanadamu wengi na kujihakikishia kuingia nao ktk jehanamu ya milele,....

WARUMI 1;28
Nakama walivyokataa kuwa na Mungu ktk fahamu zao,Mungu aliwaacha wafate akili zao zisizofaa wafanye yasiyowapasa....
ukikataa kufata kumshirikisha Mungu kwa kila jambo ktk fahamu zako na Mungu anakuacha ufate mawazo na akili binafsi..kma kuwaqza mafanikio nk.....
am sure huko sehemu makanisa yao yalipo kuna makisa ya kweli watu ambao wapo sehemu sahihi na wanaliitia jina la MUNGU Wetu wa kweli,...ila unakuta watu wanapenda makanisa wanapohubiri habari za mafanikio tu na makanisa yaliojaa watu WEEENGI ILIA HAMNA UWEPO wa MUNGU,....
Mungu atusaidiee sana siku hizi za mwisho............
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kaka unasema hivyo kwa sababu hujawahi kupatwa na tatizo, sikuombei mabaya .. Ila wewe yaache mambo kama yalivyo.. Watu wana shida watu wanaenda hadi India wanaambiwa huu ugonjwa nendeni tu mkapumzike msubiri kufa .. Hapo ndio utaanza kutafuta wachungaji na stori za uponyaji..
Mimi nina shuhuda mtoto wa dada alitakiwa abadilishwe m figo nadhani na alishaenda India na akapimwa.. Ila wakati anangoja trip ya pili akawa anapelekwa kwa hawa wachungaji wengine wanakuja nyumbani wanapiga maombi.. Siku ya siku inafika dogo anaenda kupima anaambiwa kapona.. Sasa ushuhuda kama huu nimeona mimi mwenyewe ndio maana sitaki kudharau mtu yoyote.. Wewe fanya maisha yako ila usihukumu..kama unaona wanaigiza na wewe jifanye unatoa mapepo uone balaa lake .. Yatakuingia na utapotea kabisa
mkuu ukipata tatizo kimbilio ni kwa YESU pekee,iko hivyo kabisaaaa 100%.....nlichozungumzia hapo nahisi hukuelewa,...
YESU ndiye dawa pekee kwa shida zote iko hivyo,.....nlichozungumza hujaelewa nmezungumzia manabii wauongo ambao matendo na matunda yao hayafanani na mambo ya MUngu,.....Yesu alisema tutawatambua kwa matunda yao......
mkuu mimi nimfuasi mzuri wa njia ya KRISTO Ninaamini ktk YESU kuwa ndiye mwana wa MUNGU Na alikufa na kufufuka,...
ila hawa manabii wauongo wanaopotosha watu majority ndo nliozungumzia hapo,....na ikumbukwe kuwa sio wote ni manabii wa uongo ila according to bible tutawatambua kwa matendo yao kma ya KIMUNGU au lahhh........
nabii wa MUNGU hawez kuipenda dunia kamwe
Mungu anaweka nabii atakayetangaza jina lake na si mpenda dunia na tamaa zake
na manabii nao pia wa uongo wanaponya pia ikumbukwe tena may be wantumia jina la YESU ili kupopteza watu
tutawatambua kwa matendo.....
 
Katavi kwenye msafara wa mamba.... Na hii isitufanye kuamini kuwa manabii wote ni wasanii.. Wengine ni waponyaji wa kweli
ni sahihi hili swala YESU alivozungumzia habari za siku za mwisho kuwa watatokea manabii wa uongo,...inamaana wapo wa kweli thats y wauongo wapo......ishu ukija kwenye matunda yao,....tuatawatambua kwa matunda.........
 
Back
Top Bottom