Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

Mama rwakatale anamiliki mjengo wa nguvu pembezoni mwa pwani ya bahari ya Hindi pande za masaki.chezea sadaka nyie.
 
Nimemkubali huyo wa kwanza.nigga got a good taste,expensive shit
da055181c78709ee01ed17b9a92ff586.jpg
 
Wa Tanga nafikiri. Yani kuna jirani anamsubiri kwa hamu zote anasema hajali gharama. Uone ni jinsi gani watu walivyo na njaa ya uponyaji ila ndiohivo wanaangukia kwa hawa walugaluga
Watu wengi sana wanaangamizwa sana na hawa watu bila kuelewa.
 
hivi sifa ya nabii ni ipi? maana siku hizi manabii wanachipua kama magugu kipindi cha masika
Sifa za Nabii ni lazima uwe umeitwa, umechaguliwa then ukatumwa. Lazima uwe umepitia njia ya msalaba kikamilifu.

Lazima uwe Righteous, Holy na Blameless. Na lazima uwe shaped na Mambo ya Mbinguni, sio ya ulimwengu huu
 
Wote wapigaji hao. hakuna mtumishi wa mungu hapo,ingawa hatusemi kwamba viongozi wa dini waishi kimaskini lakini sio level hii.nimeishi na watu sampuli hii.wanacheza tu na saikolojia za watu wenye matatizo.
Unachosema ni kweli kabisa.
 
Utitili now, ukifungua Facebook Naona kila siku wapya.. Duuh.. Wanakamua Sana pesa hasa wakina dada ndio wahanga wanawaamini na prophecy zao za uongo.. Shtuka we dada na kimbia... , wanakuacha masikini. Rudia imani yako ya kwanza Mungu atakusaidia
Wanachofanya wao ni kuchukua nuru yako, na kukufanya uwe mtumwa zaidi. I mean, badala ya kukupeleka Caanan, wanakurudisha Misri ukapige mzigo wa filauni Farao
 
Jamaa wanatamani sana maisha ya kina 50cent, Kim kardashian , Beyonce, Jay zee, Kanye West
 
Wanatamani hata watoboe masikio, Tatoos etc
 
1. Nabii Eubert Angel wa kanisa la Christ Embassy,

a7caae517d18423ab94f2a614c968e4c.jpg


Hapa akiwa na Ginn Wine (Mwanamziki)

d2c4dab308554fa1d5dd21034adbb852.jpg


4b663a0db7669f643e8321fb128334f9.jpg


Hapa akiwa na mke wake Bebe Angel

3804896880f067da71229c4eb7748b80.jpg


Hapa akiwa gym

a38ba5a2a4fb971ba871953e1636de18.jpg


Mke na watoto wake

0651dc3f0c2408ad75e591ca0f6d26b2.jpg


7d5010976ffc2eb2142982aa56d43f86.jpg


bde2a1ddb54308c98345a396ba3d244d.jpg


23a285be4de5d4c9c88cbdb2289ae718.jpg


5a34b8a9ceb99426db49163b0f94f9ce.jpg


75bfb25134c9aa1dbbb410de4f184f36.jpg


2600336cd65d0a56b520f8fa32f62f5f.jpg


6081a5b4d82a37d056f64663c79d774f.jpg


7d4981e2acbefc6f2658e146fd55acc5.jpg


5e9019250dc14e2c8699043fe27b4d95.jpg


Wengine hawaapa....

7aaad4a902886eda63773018a522032c.jpg


4a274528be4e8ee2bc4dd2b2ccab6a63.jpg


f753422ad67c0c11ba35a96c4d8f4da9.jpg
Uwiiiiieeee
 
Back
Top Bottom