Bouncer
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 344
- 249
Umesababisha niisome mada husika yote. nanimejifunza hiki katika post yako. either lugha aliyotumia Mwalim Said haipandi au hukuisoma habari husika. ametumia maneno makali sana juu ya mtikila. kwa wale waliosoma na kuelewa watakubaliana na mimi.
Bouncer
Nimepata like 15 wewe umepata like moja.. nani yuko sahihi hapo.. sijali mtakavyonifikiria wewe, faiza fox, big show nk nk najua niko sahihi mbaya..