Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Mtikila ni aina ya wachungaji njaa wanaogeuza makanisa vitega uchumi anawaza tumbo lake ndo mana aropokwa tu

gwajma .. wew unamuonaje ama kwa vile aliwaletea mwali .. mmekua kipofu hamuoni tena mbele
 
Mtikila mjanja sana, alikopa hela kwa Rostam Asiz kipindi fulani. Baada ya kukopa akaanza kumtukana Rostam Aziz Mwizi na Fisadi ili Rostamm asimdai. Alipompelekea heza hizo, Rostam Aziz hakuzichukua jamaa akaendelea kutamba na suspender zake mtaani. Njaa hizi zitawamaliza wanasiasa.
 
Ni maajabu haya kuona watu km Mtikila sasa wanakuwa ni.marafiki wa CCM....wako wapi mwaka huu wazee wa propaganda km Wassira, Lukuvi na kina Makamba???

Ni majaabu sana kuamini kuwa Mtikila anaweza kuwa na ushawishi wa kubadili misimamo ya watu kwa sasa???
 
Si dhani km Mungu wa mtikila ndiye tunaye muabudu huenda ana abudu miungu(the gods)ila pesa jamani inatisha km Dr.Slaa naye akawa yuda iskarioti.sijui yeye atajinyongea bustani ipi !!!
 
Ni maajabu haya kuona watu km Mtikila sasa wanakuwa ni.marafiki wa CCM....wako wapi mwaka huu wazee wa propaganda km Wassira, Lukuvi na kina Makamba???

Ni majaabu sana kuamini kuwa Mtikila anaweza kuwa na ushawishi wa kubadili misimamo ya watu kwa sasa???

Wasira anapumulia mashine jimboni kwake.
 
Ukibishana na chizi nawe utaonekana chizi tu, huyo wacha abwabwaje kwa vile anaitendea haki hela aliyolipwa na ccm. Kazi iliyo mbele ya kila mtanzania mwenye akili timamu nu kuichinja ccm hapo 25/10/2015

Watu hawajui tuu, kama unashida na hela nawe ni mpenda mabadiliko jifanye "umeshtuka" na anza kuitukana Ukawa na hasa Chadema. Utavuta mpango wa kutosha, ila usije gundulika kama wale aliosema Magufuli kuwa mchana CCM usiku wako kwingine
 
Huyu chizi amekaa na ushahidi miaka yote hii then anaibuka mwaka kuu? Harafu siwapendagi watu wanaokuja na statement kama ''nina ushahidi, kama mnabisha nipelekeni mahakamani''. Kwa nini wewe usiende police kuwashitaki kama una uhakika walilolitenda ni kosa la jinai, and most importantly, ushahidi unao?
 
Mtikila ni wa kupuuzwa tu jamani. Leteni mada nyingine kwani hata kipofu anajua kuwa amepewa na yeye hizo pesa za kutupwa kutoka mafisiieem kuchafua chafua kampeni tu.
Tatizo ni kuwa mafisieem hayajui hata yafanye nini sasa hivi. Yanajaribu kila njia si kushinda bali kupunguza hata kura mbili za Upinzani. MMESHINDWA TULIENI. Ukawa ikulu ni must tuuuu
 
Hana mtoto wa kumlisha hata wakumlipia school fees
 
Mtikila zilipendwa ni tapeli wa kisiasa, yke yaliisha mwaka 1992 tu sasa ni dunia nyingine
 
Watanzania hasa wapenda maendeleo na mabadiliko inabidi kipindi hiki cha kampeni kila kiumbe anajipeleka au kuitwa na media yoyote tumchunguze kwa jicho la tatu.

Mtikila ni mchungaji mwenye kanisa lisilozidi watu hamsini lina umri usiopungua miaka15..swali kwanini watu hawamtaki? Kwanza naona mambo haya: ana roho ya husuda, uchonganishi, tamaa na wivu....

Mtu wa aina hii ndo jamii za kina slaa hawezi kufanya kazi ya Mungu.. Mi nimefwatilia mada yake nikangundua kwanza amejaa wivu wa kukatwa na kukosa lile fungu la kampeni..

Mtu kama mchungaji mwenye imani badala ya kuombea wagonjwa wapone unasema hawafai kwenda ikulu!

Mwisho kabisa anasema mi siwezi kuisemea CCM..nani kamuuliza? Akili kumkichwa

Unasemaje kuhusu GWAJIMA mbona anasema ccm haifai kukaa ikulu.acha kuingilia uhuru wa watu kutoa mawazo.hatufanyi majaribio na maisha ya watanzania
 
Back
Top Bottom