Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Ukimwangalia Mtikila unamuona Mohammed Said... ila tofauti ni kuwa Mtikila anatumia Mahakama moja kupigania anachoamini... angalia anakuwepo a neutral third party kuamua...

Mwanakijiji,
Ukiondoa kuwa sote ni binadamu mengine ipo tofauti kubwa kati yangu
na Reverend Mtikila.

Mojawapo ya tofauti zetu ni hii hapa chini:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES


1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as MaishanaNyakatizaAbdulwahid Sykes 1924-1968HistoriaIliyofichwaKuhusuHarakatizaWaislamDhidiyaUkoloniwaWaingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book).

3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.

18. Tanzania: A Nation without Heroes Seminar Organised byIFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

19. Awards: Several Awards.

20. Visiting Scholar:

University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin, Germany
 
1701
Naona unataka kuwapa tabu wazazi wako na ndugu zako najua lazima watachoka kuja kukutembelea gerezani, haya ni ni maandishi hayafutiki.

Unaweza kujiona upo salama umejificha lakini kumbuka upo kwenye nyumba ya buibui watu kukufikia ni muda mchache.

Unajua kumtishia mtu kifo ni kosa la jinai.
 
Last edited by a moderator:
Wakristo Ndio mnataka kutugawa watanzania Lakini ni hodari sana wa kutoa matamko Lakini ni waoga sana kutekeleza.

Nyie endeleeni kutoa matamko mwisho wa siku cha moto mtakiona maana hakuna atakayeshindwa au kushinda katika vita vya dini
 
Mtikila cha moto atakiona Yaani njaa Ni kitu hatari sana mipango yote kwishney Sasa anasema maisha yake yapo Hatarini ameenda polisi kuomba Ulinzi!

Kumbe Mtikila ni muoga namna hii? Amesema kuna watu wanamfatilia ili wampofoe macho Yaani huyu Mzee Ni kituko. Hakuna atakae hangaika Na wewe Mtikila fanya ufanyavyo Kwani Hata Ehud Baraka Mungu alimlipa hapa hapa duniani
 
Wewe na mtikila woote wamoja.
Tena afadhali ya mtikila ana'facts ila wewe ni hisia na chuki zaidi.

By the way umenipa kazi nzito ya kutafsiri andiko lako msikiti wa mtoro siku nyingine uandike kiswahili.
 
NIngemuona wa MAANA kama angeenda kuisimamisha LILE BOMU LA JK aka KATIBA ya MAFISADI
 
Gautama,
Mimi sijapata kuupinga Ukristo na kama una ushahidi wa hili ulete hapa
Majlis.

Pili ili tuelewane vyema nakushauri niandikie kwa Kiswahili.

Mohamed Said

Ilikuwa vizuri kama wewe ungeandika kwa Kiswahili Post yako ya kwanza, Hakika ingekua vizuri sana.

Kuupinga Ukristo si lazima uje utamke hapa, hata kwa paper/Publications zako tunaweza jua wewe ni Unaupinga Ukristo (Not freemason). Vivyo hivyo Mtikila nae anaupinga Uislamu, kwa hiyo ni watu wawili mnaofanana kabisa.

Naona umelikimbia swali langu kuhusu UDSM, kwa mtu msomi na mtafiti kama wewe hupaswi kutumia tukio moja la kumpokea bwana Garang kugeneralize kwamba UDSM ni Pro-Christians, na ndio maana unakuta that information doesn't work this time, ni Irrelevant.

Tatizo hata data zingine umezitoa MSAUD, What a doubtfully and discredited source.

Haya tuonyeshe sasa huo U pro-Chtistian wa UDSM atleast kwa Incident 5.
 
Last edited by a moderator:
Huwa najiuliza, kwa mada ambazo zinaazishwa kwa lengo zuri, inakuwaje zinageuka kuwa uwanja wa matusi na kejeli na kuoneshana nani anajua kuandika nini, amesoma kitabu cha nani na anaweaza kufanya nini kwenye maisha? Kimsingi, ninadhani JF haipaswi kuwa sehemu ya watu kujidai ama kuonesha ujuvi, bali sehemu ya kujenga hoja. Mada kama hii sijui lengo kama lilikuwa kumshushua Mtikila na udini ama kumpa sifa za mbinu zake za kutumia vyombo vya sheria imeshia kushambuliana kutukanana, kana kwamba JF ni sehemu ya hilo. Natamani Mods waifunge hii mada, endapo wachangiaji wamekosa mwelekeo na hoja:embarrassed1:
 
Gautama,
Zia Ul Haq alitoa zawadi ya photo copier na vifaa vingine vya ofisi
kwa ajili ya MSAUD.

Itifaki ilitaka vifaa vile vipokelewe na VC Nicholas Kuhanga.

Alipoendewa ili avipokee kutoka kwa Balozi wa Pakistan Kuhanga
akasema kuwa huo ni muhali kwake.

Sheria za Kanisa zinamfunga kuhudhuria sherehe kama hiyo.

Marehemu Sheikh Kassim Juma ndiye aliyekuja kuvipokea vifaa hivyo
kwa niaba ya MSAUD.

Huwa sikwepi swali.
Ukiona sijakujibu swali lako ni kuwa naepuka mabishano.
 
wewe na mtikila woote wamoja.. tena afadhali ya mtikila ana'facts ila wewe ni hisia na chuki zaidi..
By the way umenipa kazi nzito ya kutafsiri andiko lako msikiti wa mtoro siku nyingine uandike kiswahili.

Remote,
Hapana si kweli.

Ikiwa una iwa madai yako kuwa naandika chuki ulete apa sote tuuone.
Post zangu ni maarufu hapa Majlis.

Lete angalau moja na uoneshe hiyo chuki.
 
Huwa najiuliza, kwa mada ambazo zinaazishwa kwa lengo zuri, inakuwaje zinageuka kuwa uwanja wa matusi na kejeli na kuoneshana nani anajua kuandika nini, amesoma kitabu cha nani na anaweaza kufanya nini kwenye maisha? Kimsingi, ninadhani JF haipaswi kuwa sehemu ya watu kujidai ama kuonesha ujuvi, bali sehemu ya kujenga hoja. Mada kama hii sijui lengo kama lilikuwa kumshushua Mtikila na udini ama kumpa sifa za mbinu zake za kutumia vyombo vya sheria imeshia kushambuliana kutukanana, kana kwamba JF ni sehemu ya hilo. Natamani Mods waifunge hii mada, endapo wachangiaji wamekosa mwelekeo na hoja:embarrassed1:

BUBE,
Ahsante sana.
Huu ndiyo msiba tulionao hapa Majlis.
 
Mzee wangu kama unanyanyasika sana tanzania kwanin usihamia afghanistan au saudi arabia kwenye dini ya kweli??

Ilan Ramon,
Toka mwanzo nilijua mimi na wewe hatutofika mbali katika mjadala huu.
 
Ndio maana kuna makundi kama
Isis aka islamic state
jamaa islamia
abu sayaf
Hisbolah
Taleban
Al.qaeda
Al nusra
Janjaweed
Al shabab
Al aqsa
Lashkar e taiba
Islamic jihad
Mujahidin
Salafists
90%of terrorists are muslims
 
Mohamed Said , tatizo lako una upofu wa dini, hivi Mch Mtikila alivyowapiga kelele kuhusu Wanyarwanda wanaoishi Tanzania tena sio zamani ni miaka michache tu ilopita hukua umejua au kusoma??? Je unajua wale Wanyarwanda ni Wakristo kwa zaid ya 90%??? Nilitegemea ungeandika na hili.
Chuki zako kwa Wakristo na Ukristo zinakutesa sana, nakuonea huruma huna amani rohoni. Lakini nitakuombea labda roho wa MUNGU atakuponya dhidi ya chuki na husuda

Kilio Changu,
Unaweza kuja na ushahidi wa shutuma zako?

Ikiwa unao ushahidi hata kama ni dhaifu kutokana na mabandiko yangu basi
ulete hapa Majlis uangaliwe na hukumu itolewe.

Kwa kawaida hapa kila nimuombae ushahidi huwa harejei tena na akirejea
huwa anakuja na lingine kabisa.

Nakusubiri.
 
Hayati mwl nyerere aliwahi kusema tz ama serikali haina dini aliona mbali sana lkn leo wanasiasa wanatumia udini kutafuta kura hasa chama tawala wameshindwa kuwa na mtazamo chanya wameona waingie na gear ya mahakama ya kadhi swala hili waachiwe waislamu wenyewe aamue na wamchague mtu wa kuwaongoza na sio serikali ijiingize kwenye mambo ya kidini.
 
Back
Top Bottom