Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Ni kweli ila hana tofauti na Gwajima. Ukiuona ukweli wa Gwajima pia utauona ukweli wa mtikila.

Acheni upuuzi unaweza kumlinganisha Mtikila na mpiga Dili Gwajima? Mtikila ni mpambanaji sio Gwajima na ndoa za watu
 
Mimi siyo CCM.Angalia signature yangu[/QUOTE

haha nakumbuka kuna baadhi ya viongozi wa CHAdomo walisema ata kumuunga mkono lowasa ni utahira au watu wakapimwe akili, stuff like that, lakini leo hii ndio munaemsujidia kudadadeki. signature my monkey @$$
 
Kashatwaliwa na mchuma roho mkuu...
 
He was neither a good christian nor pastor but his contribution in our jurisprudence cannot go without a mention. Unfortinately he had a price!!
 
Back
Top Bottom