kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,244
- 3,251
Nilisikiaga kuwa jamaa ni kachero! Is it true?
Anyway nime kuelewa mkuu,Kama hutojali naomba tujadili/tuhamasishe upendo,Amani na mshikamano na bado nina imani na wewe Hutopenda kuona watu (watanzania) tukichinjana na kuuana kwasababu ya DINI.
Labda kuna ukweli fulani kwamba Wagalatia wana akili zaidi kuliko hao wengine. Ila ukichunguza kwa undani, kati ya marais wanne waliopita, hebu angalia ni marais gani ambao ni dhaifu!
Hivi enzi za nyerere huyu mzee Mohd Said alikuwaga wapi? Imekuaje anaonekane vocal sana kipindi hiki ili tumuone ubavu wake akipambana na wazee wenzake kwenye jumuia za carriber
Mtikila mwanasiasa njaa anaetumika na yoyote mwenye pesa...kiongozi wa kanisa na mwanasiasa pia
= caliber
Enzi za Nyerere kulikuwa na mtandao? TV yenyewe ilikuwa hakuna. Usitake kuchekesha watu saa hizi.
Al Alama Mohamed Said mpe ile khabari ya African Evetns lililonunuliwa lote ili lisisambazwe kwa sababu tu...

Huyu mzee mohamed said uchuro unamsumbua for ur infor tanzania will never be a heven of terrorists