Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

Kuna waofisa usalama wa taifa, kwa sasa ccm wanaojificha kwenye nyumba za ibada
 
Alichobaki anafanya mtikila ni kujigeuza yy kuwa janga kwa Taifa.Maana kwake hatuoni akili yoyote.
 
Watanzania hasa wapenda maendeleo na mabadiliko inabidi kipindi hiki cha kampeni kila kiumbe anajipeleka au kuitwa na media yoyote tumchunguze kwa jicho la tatu.

Mtikila ni mchungaji mwenye kanisa lisilozidi watu hamsini lina umri usiopungua miaka15..swali kwanini watu hawamtaki? Kwanza naona mambo haya: ana roho ya husuda, uchonganishi, tamaa na wivu....

Mtu wa aina hii ndo jamii za kina slaa hawezi kufanya kazi ya Mungu.. Mi nimefwatilia mada yake nikangundua kwanza amejaa wivu wa kukatwa na kukosa lile fungu la kampeni..

Mtu kama mchungaji mwenye imani badala ya kuombea wagonjwa wapone unasema hawafai kwenda ikulu!

Mwisho kabisa anasema mi siwezi kuisemea CCM..nani kamuuliza? Akili kumkichwa

Mwendawazimu akiambiwa ni kichaa lazima akupige na kusema yeye ana akili timamu na mimi ninasema inabidi uwe na akili ya kichaa kumwamini Lowasa lakini mtu mwenye akili timamu hawezi hangaika na EDWARD maana nyie mkiambiwa ukweli kuhusu huyo taahira wenu mnasema kila asemaye ametumwa na CCM kwa nini hamjiamini mbona Magufuli hasemwi kama huyo taaahira wenu ndiyo mjue kuwa mtu wenu anamapungufu mengi ambayo hayampi nafasi ya kwenda IKULU KAMA ALIVYOWAAMBIA REV . CHRISTOPHER MTIKILA ambaye kamwe wewe na ujinga wako huwezi jilinganisha naye yeye hupiga mstari na akanyoonsha bila kujali nani anaumia. Kumbuka Rev. Mtikila ndiye mtanzania wa kwanza kuilalamikia Katiba ya Tanzania na akaishitaki serikali na akaishinda juu ya mgombea binafsi achana na hao wafanyabiashara wanaojiita ukawa walishindwa nini kukomaa tangu pale tungekuwa tuna KATIBA MPYA wanakuja kukurupuka miezi sita kabla ya uchaguzi imewasaidia nini? Malimbukeni tulizeni akili kabla ya kukurupuka UKAWA SIYO CHAMA BALI NI MAZINGAOMBWE YA KUJENGA MATEMBE YOTE TANZANIA KWA SIKU MIA MOJA.
 
Amejishishia heshima yake kwa kutukana matusi tu, alikuwa anaweza kujenga hoja akaeleweka bila matusi
 
Mtikila ana kesi zaidi ya 69 mahakamani.ukimpeleka tena utamsababishia matatizo makubwa
 
watanzania hasa wapenda maendeleo na mabadiliko inabidi kipindi hiki cha kampeni kila kiumbe anajipeleka au kuitwa na media yoyote tumchunguze kwa jicho la tatu.

Mtikila ni mchungaji mwenye kanisa lisilozidi watu hamsini lina umri usiopungua miaka15..swali kwanini watu hawamtaki? Kwanza naona mambo haya: Ana roho ya husuda, uchonganishi, tamaa na wivu....

Mtu wa aina hii ndo jamii za kina slaa hawezi kufanya kazi ya mungu.. Mi nimefwatilia mada yake nikangundua kwanza amejaa wivu wa kukatwa na kukosa lile fungu la kampeni..

Mtu kama mchungaji mwenye imani badala ya kuombea wagonjwa wapone unasema hawafai kwenda ikulu!

Mwisho kabisa anasema mi siwezi kuisemea ccm..nani kamuuliza? Akili kumkichwa

nashukuru umejishtukia na kusema unasema unayoyaona ww na nimegundua hizo ni akili zako finyu na upeo mdogo wa kufikiri uwezi kujiringanisha na mtikila hata kidogo kakuacha mbali harafu utafiti wako ulioufanya ni wa uongo usipende kukurupuka vinginevyo no research no ryt to speak...na kama ndio mbinu yako ya kumpgia kampeni lowassa kwa namna hii umefeli...nenda darasani ukajipange kwa hoja!
 
gwajma .. wew unamuonaje ama kwa vile aliwaletea mwali .. mmekua kipofu hamuoni tena mbele

Mi cmtetei gwajima wala mtumishi yoyote Wa dini mana siasa na dini haviendani ndo mana imeandokwa ya kaisari mpe kaisari
 
siasa za mwaka huu ni shidaaa ,eti lowasa na sumaye team moja, mtikila na ccm marafiki, slaa na lipumba maswaiba wa ccm, lowasa na chadema damudamu ,magufuli na wasanii wakubwa wa nchi team moja ,magufuli anashangaa uozo ndani ya ccm mbele ye mwenyekiti wake, lowasa asema elimu bure hadi chuo, magufuli elimu bure secondary lkn awatisha wakuu wa shule kula michango ,lowasa awa sehemu ya campaign kwa kila chama, magufuli apiga pushup kuomba kula,magufuli ala kiapo cha kuwashughulikia mafisadi wengi akiwanao kwenye majukwaa ya campaign, lowasa anatoa hotuba za dk tano ,ccm yatumia matipa na maloli kusombea watz kwenda kwenye campaign, dah mwaka huu yetu macho
 
mtikila ni mtu mwenye njaa kali anayesubiri msaada wa wapita njia ili kujikimu .
 
Mtikila anajua anachosema, kama chadema wanabisha wampeleke mahakamni.

Hivi una akili kweli wewe? yaani cdm waache kampeni na kujadili mikakati ya ushindi wahangaike na huyo Mpuuzi asiye na ushawishi wowote kwenye jamii inayosaka mabadiliko?
 
Hakuna mtu wa ovyo kama Mtikila.Binafsi sijui anapigania nini katika siasa zake.Kila kukicha mahakamani.Hana mbunge wala diwani hata mmoja.
Kura za urais ni sufuri.
Hana ushawishi ata katika kanisa lake.
Kwenye bunge la katiba aliunga mkono UKAWA baadae sijui alipotelea wapi.Sasa anampinga tena mgombea urais wa UKAWA aliyeahidi kuleta katiba ya wananchi.
Ushauri wangu:Ndg Mtikila aidha akapime afya ya akili yake au aachane na siasa na kurudi katika shughuli za kichungaji tu.
 
Mimi nasema inawezekana kuondoa matembe na kujenga nyumba bora kwa siku 60 na si 100 za UKAWA. Akiliccm hawawezi kujua ni vipi matembe yanaondoka kwa siku 100 hili linawashangaza na ni miujiza kwao kwa sababu wamezoea upigaji dili.
 
Mtikila ni failure sikuzote. Anakaupuzi kingi sikuzo na nimropokaji kama mkinga
 
Back
Top Bottom