google2014
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 584
- 216
Mtikila mwanasiasa njaa anaetumika na yoyote mwenye pesa...kiongozi wa kanisa na mwanasiasa pia
Hoja yake ina mantiki au haina kwa mustakabali ya amanj ya nchi?
Mtikila mwanasiasa njaa anaetumika na yoyote mwenye pesa...kiongozi wa kanisa na mwanasiasa pia
Bouncer,
Umeandika mengi na sitoweza kujibu yote.
Kuhusu kuwa nilikuwa wapi...
Unaweza kupata historia yangu kamili hapa: www.mohammedsaid.com.
Kuhusu uzee wangu kunilinganisha na hao ulowataja wao ni wakubwa
sana kwangu kwa umri ninapokuwa mbele yao mimi siwezi kuzungumza
ila kwa amri yao.
Wakati Iddi Simba yuko ADB mimi ni kijana bado nasoma.
Mkuu waislam huwa wanachodai ni upendeleo japo wanauita haki yaani haki ya kipekee
Hapo ndio nimeamini huyu mtoa mada hajitambui kama hao walio mpa elimu ya dini yake na kumpotosha
Mzee wangu uwe unatoa maelezo ya kutosha basi. Ndio maana vijana wasio na simile wanakurushia makombora bure. Useme ni kwa nini waarabu wanashangaa kwa mweusi kuwa muislam?
Hayati mwl nyerere aliwahi kusema tz ama serikali haina dini aliona mbali sana lkn leo wanasiasa wanatumia udini kutafuta kura hasa chama tawala wameshindwa kuwa na mtazamo chanya wameona waingie na gear ya mahakama ya kadhi swala hili waachiwe waislamu wenyewe aamue na wamchague mtu wa kuwaongoza na sio serikali ijiingize kwenye mambo ya kidini.
Mohamed Said. Unataka ushahidi gani?? Je unataka ushahidi kuhusu Mtikila na sera yake ya kuwafukuza Wanyarwanda au unataka ushahidi wa sera zako zenye chuki dhidi ya Wakristo TZ???Kilio Changu,
Unaweza kuja na ushahidi wa shutuma zako?
Ikiwa unao ushahidi hata kama ni dhaifu kutokana na mabandiko yangu basi
ulete hapa Majlis uangaliwe na hukumu itolewe.
Kwa kawaida hapa kila nimuombae ushahidi huwa harejei tena na akirejea
huwa anakuja na lingine kabisa.
Nakusubiri.
Mohamed Said. Unataka ushahidi gani?? Je unataka ushahidi kuhusu Mtikila na sera yake ya kuwafukuza Wanyarwanda au unataka ushahidi wa sera zako zenye chuki dhidi ya Wakristo TZ???
Gautama,
Ikiwa hujaridhika na majibu yangu basi na tuwiane radhi na tusonge mbele
na mjadala tusijifunge na kipande hiki.
Msikiti wa Chuo Kikuu una historia yake pekee.
Hapa si mahali pake kulizungumza hili.
Kisa cha msikiti nakijua vizuri kwani nilikuwa Katibu wa Muslim
Students Association.
Mkuu Mohamed Said na mimi sina hiyana ijapo tumekubaliana kutokukubaliana, Kwa majaaliwa yake Mwenyezi Mungu tutasonga mbele na mnakasha.
Kwa sasa nipo Shambani nikiamia Kwale wasile mahindi na njugu zangu nilizozipanda mwezi wa jana.
Gautama,
Ahsante kaka.
Marehemu bibi yangu aikuwa na kijishamba chake cha mpunga.
Ndege wakimuhangaisha sana.
Wewe unatamka "kuamia," kwetu ni "kuhamia."
Nakumbuka pepeta.
Tupo sote ndugu yangu.
mkuu nilikuwa nasubiri majibu yako baada ya yule professor kutuletea nondo hapa mbona kimya
mirisho pm
Mrisho PM,
Nitashukuru kama utaniandikia Kiswahili maana Kizungu changu cha matata
kidogo.
Mkuu mimi sijaelewa lengo ako...pengine unataka kusema hukuelewa lugha niliyozungumza kwamba ina makosa kiasi hicho( Utakuwa mtu wa kwanza tangu nianze kuizungumza lugha hiyo) anyways it hardly matters! nitafafanua kwa tone ile ile lakini si tafsiri.
Nina maswali machache tu kuhusu uanaharakati wako juu ya dini yakiislam
1. Je unaamini kuwa Tanzania kama taifa, linapitia changamoto nyingi na hasa umaskini uliokithiri, na haubagui waislam uau wakristo, kwanini umeona dini tu ndicho kitu cha kushikamana nacho?
2. Unaongea kama vile Muslims are minority group in Tanzania..wakati wanajenga majumba.. kariakoo yote labda 80% ya wafanyabiashara wakubwa ni waislamu.. huoni kwaba unapigania kitu ambacho wala hakipo kiuhalisia?
3.Tanzania kwa sasa kuna maadui wa 4.. umaskini, Ujinga, Maradhi na Uongozi mbovu... je hilo la dini ni tatizo kwa lipi? haswa ikizingatiwa kuwa dini pekee haitamsaidia binadamu katika mazingira ya namna hiyo.
4. Waislam ndio dini pekee inayohimiza kuoa mke zaidi ya mmoja ..(hadi wanne) wakati wengi wao hawana uwezo wa kulea hata watoto watatu achilia mbali wake... je huoni kuwa huo ndio msingi wa tatizo na kujiona kama mnabaguliwa katika kila sekta inayohitaji elimu?
5.Waislam wenyewe si wamoja...hata mkipewa mnachotaka.. nafasi zooote kila mahali, unadhani itakuwa suluhisho la matatizo ya waislam?
6. Kwenye bandiko lako naona ukiongelea India na Arabuni..... hivi wewe unaamini dini inavuka mipaka ya ngozi zetu? hivi mnaonaje ubaguzi na udhalilishwaji wa watu weusi huko Arabuni? nao ni waislam wenzenu? Jirani yangu katoka Omn juzi kama mfanyakazi wa ndani baba yake swala tano imebidi akatolewe kizazi..amejozea ukisimuliwa ndio utajua maana ya unayozungumza... kwamba ubinadamu ni juu ya dini yeyote ile.
7. Hivi una habari kuwa matajiri wa kiislamu ndio wanaoongoza kuwalipa waislamu wenzao mishahara duni, isiyo hata na bima ya afya?? nenda Ba.Mo.Ma.Mu.... ukaijionee.. kama ubaguzi unaanzia kwa waislam wenyewe itakuwaje kwa wasio waislam?
8.Unapigana vita kubwa sana.. unaweza kusema mwisho kabisa wa vita hiyo unataka mpate nini hasa?
9.Unaongea kama vile Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi muislam .... bila kujua kuwa Kikwete na Mwinyi wote ni Waislam na pengine ndicho kichokuwa kipindi kigumu zaidi kwa waislamu kuliko kipindi kingine chochote na ndio maana ya wanaharakati wengi huonekana katika vipindi vyao..subiri uone 2015
10.Kwanini huwahimizi waislamu kujenga shule, vyuo, hospitali, au hata mahakama zao.. badala ya kujitaidi kulilia serikali kwa kila kitu.. hadi pilau la iddi?
11.Huoni kwamba takwimu za zamani kuwa waislam ni wachache sana katika nchi hii (35%)ukilinganisha na wakristo na wapagani (>60%) ndio maana unaona wanabaguliwa?
12. Historia mara nyingi hufutwa na huandikwa nyingine.... maswala ya Ugaidi, fundamentalism, na mashabiki wa kidini wenye nia ovu dhidi ya taifa wanaweza kutumia mgongo huo huo wa hoja za udini kutaka kusambaratisha usalama wa taifa?
13.Mimi nimekulia Arusha, nimekuwa na marafiki waislam hadi nakuja Dar es salaam... cha kushangaza tofauti na vita ya kidini nimekuja kuikuta Dar es salaam, nilipoenda Tanga, Pwani na Mtwara.. kwanini vitu hivyo havipo Machame, Arusha, wala Bukoba? upo kwenye mikoa ya Pwani ambapo suala la uvivu unatajwa sana katika miko hiyo?
Nitashukuru kama majibu yako yatakidhi kwenye uhalisia .
CC.[FaizaFox]
Shukrani za dhati mkuu,Mirisho PM,
Ni kazi kubwa kuweza kuingia katika yote hayo uliyoandika na kuweza kutoa
jibu na sababu kubwa ni kuwa kuna baadhi ya mambo sijapata kuyazungumza
katika "paper" au vitabu nilivyoandika.
Kwa mukhtasari nilipoanza kuandika niliandika kitabu kusahihisha historia ya
TANU na historia nzima ya kudai uhuru.
Ukiingia hapa unaweza kupata ninachosema kwa mukhsari:
TANZANIA: A NATION WITHOUT HEROES - Mohamed Said
Lakini ukitaka kunipata khasa kwa ukamilifu wangu nakuwekea niliyoandika
katika kitabu changu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,
Minerva Press, London 1998.":
[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1. Dedication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2. Acknowledgements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3. Table of Contents[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4. Introduction[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part One
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Abdulwahid Sykes 1924-1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Old Town of Dar es Salaam and its Elites[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· World War One 1914-1918[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Burma Infantry, 1942[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Dar es Salaam Port, 1947[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Erika Fiah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Dockworkers' Union, 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanganyika African Association, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA Political Subcommittee, 1951[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika as a Mandate Territory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Meru Land Evictions, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Story of Julius Nyerere, 1952[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ally Kleist Sykes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part Two
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 7. Mass Mobilisation 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Propagandists-The Bantu Group,1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Football As a Political Weapon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Central Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Southern Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Western Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Tanga Province, 1956[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· TANU in Mombasa, Kenya, 1957[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Tanga Strategy, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Debate for Tripartite Voting[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Independence, 1961[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Part Three
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Conspiracy Against Islam 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Islam: The Ideology of Colonial Resistance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The First Muslim Congress, 1962[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Resistance to Change[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Second Muslim Congress, 1963[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Proposal for an Islamic University, 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· The Islamic National Conference, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Omissions Analysed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Betrayal of Ideals[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Conspiracy Theory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Epilogue [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Bibliography[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mirisho PM,
Ukipitia katika hayo niliyoweka hapo juu utakujakuta kuna mambo umeniandikia
mimi sijayataja popote kwa hiyo siyajui na singeweza kukupa jibu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nidhan nitapata majibu safi toka kwa mzee wangu Mohammed Said, lkn naona kama anajaribu kukwepa hivi. Vp mzee wangu...yamekua magumu kwako nn??
Shukrani za dhati mkuu,
Jambo moja tu,
Pengine hayo ujaandika lakini haina maana kuwa huna ufaahamu kabisa juu ya hayo na mara nyingi maandiko yako yana amsha sana hisia za kidini.... sasa kama hutojali nin maoni yako juu ya hayo japo kwa uchache.. ahsante mtalam.