Man kutumwa kununua pedi

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
Unaenda dukani/supermarket kununua mvinyo na vitu vingine vya home. Mkeo anakwambia umnunulie pedi. Utajisikiaje?
 
Mama aliyenizaa, Shangazi yangu, Dada yangu wote pedi zinawahusu!
Hicho kioja cha mie kumnunulia pedi mdau wangu kitandani utatoka wapi ?
Tena mi naibeba hata bila mfuko! Ukinijadili kimpango wako! Hunizidishii !
Hunipunguzii !
 
triple like

Una akili sana wewe. . .
Mambo mengine watu wanakuza tu bila maana.
 
Ni kitu cha kawaida sana. kwani kuna binadamu gani asiyefahamu kuwa kila mwanamke(including mkeo) hupata siku zake kila mwezi? ni sawa sawa tu na ukimnunulia mafuta ya kupaka au kitu kingine chochote.
 
Aisee very normal,tena mi ndo namnunuliaga zile ultra thin.hata chupi zake inabd ninunue miye coz mi napenda zile zenye ribbon kwa mbele akienda yeye ananunua designn nyingine
 
Inategemea namna mnaishi nyumbani na culture yenu ikoje. Kuna ambao hawaoni shida, na wengine wanaona ni taboo kabisa mwanaume kuhusika kwa namna yoyote ile katika mambo ya hedhi. Binafsi nadhani wana ndoa wana share so much already, so I can't see why they wouldn't manage that together (so to speak).
 
Uko kidato cha ngapi wewe??????!!!!!

Kaka/dada mbona umenishupalia. Mimi namnunulia kila siku, ila nilitaka kujua kamana wengine wanafanya kama mimi.Kuna mahali nimesema ni kosa?
BTW sijaanza vidato bado, niko darasa la tatu
 
Mama aliyenizaa, Shangazi yangu, Dada yangu wote pedi zinawahusu!
Hicho kioja cha mie kumnunulia pedi mdau wangu kitandani utatoka wapi ?
Tena mi naibeba hata bila mfuko! Ukinijadili kimpango wako! Hunizidishii !
Hunipunguzii !

Safi Judgement Husninyo atakosa mengi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom