Mamndenyi na likes zake....

yaonekana wamjua vizuri huyu ...!! mavumba yamo nini? afu tuko na wabunge humu. usikute ndo Halima Mdee huyu.!!!!!!!

Siwezi kutoa siri kabisa..ila kifupi ana cheo fulani jeshini.....ana historia nzuri ya vita ya Kagera.. alikuwa akimkamata adui ni kisu tu
 
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes.

Tembelea tembelea thread za watu kama atakuwa yupo hewani kwenye post lazima utaona amegongea watu "like". Hata mimi ndiye mtu anayeongoza kwa kunigongea like.

Congratualtion Mamndenyi kwa roho ya kitajiri.

mh.kumbe uko huku swthat. like x 28
 
Last edited by a moderator:
kama nikweli mpeni hongera zake. lakini kabla ya yote ngoja nicheck profile ya Saint Ivuga kisha ndo tuendelee na maada hii. Hakuna kubahatisha hapa. Mia

Z
 
Back
Top Bottom