BUKOBA: Mamlaka ya Maji(BUWASA) yakatiwa umeme kwa madeni, wananchi wateseka kwa kukosa maji

Niliashasema maneno ni mawili tuu kaa na taa sasa kelele za nini.
 
Unauliza mmekosa nini? Wewe bure kabisa. 2015 ulikuwa wapi?

Uliyemtaka angefanya nini zaidi ya kuongeza wigo wa kupiga dili.

Tunailaumu TANESCO kwa kupandisha bei ya umeme na huduma mbovu, kumbe kuna mashirika, kampuni na taasisi azilipi bill za umeme! Viongozi wao watumbuliwe maana si ajabu wakawa wanatumia fedha nyingi kwenye vikao vya ndani na semina.
 
Buwasa ni watu hatari sana hawana huruma na bodi nzima mambo mengine tusi mchoshe Rais wetu ana majukumu mengi kuliko haya ya Buwasa viongozi wa Mkoa /wilaya lione hili tumeteseka sana Nina imani kesho Maji yataanza kutoka
 
Back
Top Bottom