BUKOBA: Mamlaka ya Maji(BUWASA) yakatiwa umeme kwa madeni, wananchi wateseka kwa kukosa maji

Nimepata simu nyingi kutoka Bukoba wananchi wanalalamika kuwa Mji wa Bukoba una siku Tatu sasa bila Maji. Wanahoji Buwasa imeshindwaje kulipa bili ya umeme Tanesco hadi wakakatiwa huduma hiyo?

Tulifuatilie wapendwa.

Balile
 
Wanajimbo wa Bukoba wanasoma namba baada ya Tanesco kukata umeme kwenye taasisi za serkali ikiwamo Buwasa hali ilo pelekea maji kukatika kwa muda usiojulikana leo ikiwa ni siku ya tatu.Watu wanahangaika kutafuta maji kwenye mito iliyo kandokando mwa mji uhu,dumu la lita 20ni sh,1500 mpaka 2000 lakini pia ukienda G.ment hospital wagonjwa na wahuguzi kila mmoja ana dumu la maji kutoka anapojua yeye hali nimbaya sana tutalajie magonjwa ya milipuko kutokana na watu wanaouza maji kutokuwa waaminifu wanachota popote mladi nimaji meupe.
 
IMG_20170329_080031.jpg
IMG_20170329_080523.jpg
IMG_20170329_074141.jpg
IMG_20170329_074126.jpg
 
Jamani tusaidieni kupaza sauti hali huku ni mbaya soon tutaanza kusikia milipuko ya magonjwa
 
Back
Top Bottom