BUKOBA: Mamlaka ya Maji(BUWASA) yakatiwa umeme kwa madeni, wananchi wateseka kwa kukosa maji

Swali nalojiuliza ni kwanini madeni yalikuwa yanalimbikizwa kiasi hicho,kama vipi kuwe na system ya malipo ya kabla kwa wote
Na hilo ndio tatizo hesa, kama wanainji tunalipa bili zetu za maji kwann wao wasilipe kwa wakati
 
Nyie ndiyo baada ya tetemeko heavy weight,mlikua mnachekacheka nakushangilia kwa kila neno alilokua akiongea kipindi kile amekuja kuwapa maneno motomoto baada yakupigiwa kelele kua aje awape pole.Kumbukeni aliwaambia kama mnategemea serikali,mwafaaa.. sasa leo mnataka kumwambia Rais awafanyie nini,jibu bilashaka ni MWAFAA...
 
Naona unasahau ule msemo mwenzako akinyolewa
 
Hivi hizi mamlaka pesa wanazokusanya kama mapato ya huduma wanazotoa huwa wanazipeleka wapi mpaka huwa wanashindwa kulipia running cost.?
 
Naona unasahau ule msemo mwenzako akinyolewa
Naufahamu huo msemo na hii imenifanya nikome kumshirikisha rais katika matatizo ambayo najua kabisa aliwajibu wenzangu vile alivyojibu.
 
Back
Top Bottom