Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 495
- 376
- Thread starter
- #61
Tuanzie hapo labda kama nimekuelewahapana hapo kuna kimchezo kimechezeka inavyoonekana.
vinginevyo askari wenzake wangepiga makelele nchi nzima tungejua.
Ukiona wapo kimya ujue wanajua aliko.
Ukiwa mkuu wa kituo ni mtihani sana hasa pale unapotaka kutenda haki,kuna polisi wa chini yako ambao ni wakongwe wa madili wanakuangalia wewe,kuna wakuu wa polisi wilaya wanakuangalia wewe
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app