Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Kitendo cha hawa wanawake Wenye chura kuendelea kuzagaa hasa katika kipindi hiki ,tunachoelekea kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani,wallah umekuwa ukituondolea utulivu,na Umakini hasa katika kipindi hiki cha kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ,na najiuliza Sijui itakuweje na mitihaani hii hasa pale mfungo mtukufu utapowadia,.
Kitendo cha hawa chura kuendelea kuzagaa ni kuziweka swaumu zetu rehani ,aisee,
Nyie wanawake wa Daresalam, ambao mmekuwa hamvai pi****chu***mungu anawaona,
Na nimejitolea kuwanunulia wanawake wote msiokuwa na nguo za ndani katika kipindi hiki cha kuelekea mfungo mtukufu wa ramadhani,Ili mtupe Utulivu mpaka Ramadhani itapokwisha,na kama kisingizio joto,safari hii Dar hakuna joto ,mvua ya kutosha ,Nimeagiza mzigo mzima wa contena upo bandalini kwa ajili yenu,
Plz huu muda wa kutubia ,Tuacheni tupunguze zambi kwa kweli Sio mtuongee zambii,Mnatujengea mahusiano mabaya na Muumba na kitu ambacho sie hatutakiii
Hata sijui niende nikafungie wapi kuinusuru Roho yangu mie,maana najijuaga mwenyewe mitihani yote ntafaulu ila huu wa chura huwa na feli kila mara ,najikuta napata bashite kila nikijaribiwa