Mamlaka haya Rais anayapata wapi ya kuamuru kesi ambazo zimefikia finality zirudi mahakamani

Na rais hajatoa msamaha kwa mfungwa yeyote , bali ameagiza kesi ziwe rewiewed baada ya kuona kuna mazingira ya uonevu.
Jambo ambalo ni jema..
Pata feeling unafungwa kwa kesi ya ubakaji (30yrs) lakini ukiwa umembambikiwa tu.

.
Taratibu zifuatwe. Kama kesi imefikia finality, Court of appeal which is final in our jurisdiction, kinachoweza kufanywa ni review by an agrieved party. Sasa hii ya AMRI kuwa kesi zirudishwe mahakamani mamlaka anayatoa wapi? inaashiria kuingilia nini kama siyo kuingilia Judiciary!
 
Rais alichokisema ni kuwaambia ofisi ya DDP (siyo mahakama) kuziangalia upya kesi hizo, tatizo liko wapi?
Kuziangalia kwa upya kwa vipi. Taratibu zetu zinasema kuwa kesi ikifikia Court of appeal ndiyo final. na kama hujaridhika kuna utaratibu wa REVIEW by an agrieved party. Sasa DPP ataanzia wapi? Labda aombe REVIEW na yeye . Lakini kumbuka Rais amesema zirudi mahakamani, mahakama zirudi vipi? zianze upya? Ndio utaratibu wa conduct of court business in cases before it?
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE
1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?
Juduciary on trial again!
Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Tuombe wahukumu kesi wawe na busara ya kudumu. Siku wa kikinai na kuanza mgomo baridi na kutoa hukumu za kimgomo, tutaumia. Waharifu watazagaa mitaani na amani itavunjika.
 
Kuziangalia kwa upya kwa vipi. Taratibu zetu zinasema kuwa kesi ikifikia Court of appeal ndiyo final.
Inabidi uziangalie zile video mbili ndio utaelewa tunachokisema.

Da, acha nikutafunie tuu, nimeweka hizi video mbili kuanzi kwenye muda walioongea mambo ya dhuluma pale gerezani Butimba na nyingine alipoongea pale Kongwa.

Bitimba

Kongwa.
 
umeuliza vyema, Raisi ni muhimili kati ya mihimili mitatu, yaani mahakama, bunge na yeye serikali.
kwa kipindi kirefu yeye[serikali] amekuwa akiingilia mahakama na bunge kwa kutoa amri.
Utaona kesi za kina DR Adv Tenga, Kitilya , Sumari na wengine kazifanya kwa chuki binafsi huku zikiwa hazina mwisho ila watu wake na wasukuma juzi kaamuru wafutiwe kesi na DPP.
kimra walivunjiwabila fidia ila kwake huko walipwe fidia,

haya mambo Mungu atalipa.

haya, Rais hana mamlaka ya kuamuru lolote kqa mahakama, ukiona kama hivi anavyofanya hakuna check and balance, na tena wabunge wakiongozwa na ndugai na tulia wanapaswa kupiga kura ya kutokuwa na imani
Anachokifanya ni kutafuta kuhalalisha
Da, acha nikutafunie tuu, nimeweka hizi video mbili kuanzi kwenye muda walioongea mambo ya dhuluma pale gerezani Butimba na nyingine alipoongea pale Kongwa.
I can guess huna knowledge ya sheria angalau ya kuokoteza as can be gleaned from your post. Kesi inahukumiwa na evidence on record! Hizo ni story za magerezani/wafungwa. Unategemea mwizi aseme kweli Mh Rais niliiba. Unadhani ukiwauliza wote hao over 2000 convicts, kuna atakayekiri kuwa kweli rais niko hapa kwa sababu nilibaka kweli, niliiba etc!
 
Huyu mzee mengi anayafahamu na wakati mwingine unaona ana huruma fulani kwa alionewa! ila ukishakuwa moinzani wake hata ukiwa kwenye haki ilimradi ana mamlaka umeisha!

Hivi zile kesi za wapinzani ambazo ziko mahakamani haziishi muda sasa bado haoni kama haki inacheleweshwa?
 
Kwa hili la waliobambikiwa kesi za mauaji na kusaidiwa hata kama hana mamlaka naona sawa tuu kuliko watu wateseke kwa kuzungumzia mamlaka...na wakitaka wakupoteze kesi ya Ardhi unapewa mauaji na wengi wamehukumiwa hivyo sio kila kitu kupinga tuu hata kwa vitu anavyopatia ili mradi tupo upande tofauti hata akifanya kitu kwa maslahi ya watu waliodhurumiwa haki zao ni kupinga tuu..

Kwa nini iwe Mwanza tu? Halafu yeye mwenyewe ana dalili za ubambikaji ref. Hukumu ya kesi ya Mbowe na hukumu ya Sugu. Mbowe, Sugu na Lema walipotoka gerezani kwa matatizo la kubambikwa waliongelea ukubwa wa tatizo hilo lakini hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu tu ni wapinzani. Watanzania tupendane tusijenge chuki miongoni mwetu. Tusibaguane huku tukisema maendeleo hayana vyama.
 
Kwani yule mtoto wa Dada yangu aliye husika au husishwa na kushuti mtu kanisani kesi yake imesikilizwa au nayo kasingiziwa na DPP anaishughulikiwa. Sijasikia new appointed DED in that council tough unless Sijui. Muwe mnaendelea kuconnect the dots. Kwani angepita alafu kama Rais akamwita aji mkuu au wakuu wanaousika akawaambia waanze kazi ya ku review kesi mbalimbali nchi nzima na kumpa report. Au hata angechagua independent consultants au aunde tume ifanye hiyo kazi nchi nzima. Na sio gereza moja tu. Anyway huo ni mtazamo wangu sio wake
Umeshauri vizuri japo umeanza na vijembe,,
Normally ushauri wa namna hii tupuuzwa.
 
Tukisema huyu mtu ni mshamba na janga wengine hawaelewi

Washamba ni sisi tunaoandika sheria kwa akili za kuku kama vile kuruhusu double jeopardy prosecution

Na haya mambo aliyaanza Nyerere, muasisi wa hii Banana country
 
Anachokifanya ni kutafuta kuhalalisha

I can guess huna knowledge ya sheria angalau ya kuokoteza as can be gleaned from your post. Kesi inahukumiwa na evidence on record! Hizo ni story za magerezani/wafungwa. Unategemea mwizi aseme kweli Mh Rais niliiba. Unadhani ukiwauliza wote hao over 2000 convicts, kuna atakayekiri kuwa kweli rais niko hapa kwa sababu nilibaka kweli, niliiba etc!
Sheria siyo sayansi bali tasfiri na tafsiri inaweza kuwa mbovu.
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Nimesema humu mara nyingi tangu hii awamu ianze:
The hallmarks of bad governance:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
Kuna anaebisha?
 
Nimesema humu mara nyingi tangu hii awamu ianze:
The hallmarks of bad governance:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
Kuna anaebisha?
Hakuna, atabisha mnafiki mwenye PhD ya unafiki kama alivyosema Msiba
 
Kwa nini iwe Mwanza tu? Halafu yeye mwenyewe ana dalili za ubambikaji ref. Hukumu ya kesi ya Mbowe na hukumu ya Sugu. Mbowe, Sugu na Lema walipotoka gerezani kwa matatizo la kubambikwa waliongelea ukubwa wa tatizo hilo lakini hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu tu ni wapinzani. Watanzania tupendane tusijenge chuki miongoni mwetu. Tusibaguane huku tukisema maendeleo hayana vyama.
Mkuu wote tunatamani yaliyotokea Butimba yatokee magereza yote kwa DPP kutembea na kutoa kesi zote za kuku na kubambikiana kama inawezekana mimi naangalia utu ukiwekwa mbele ni jambo jema sana hata kama muda mwingi anakosea...
 
Asante kuna mtu kanielewesha kumbe kunamaelekezo waende nchi nzima waxirina team yake imekuwa coincidence tu kuwa alikuwaziarani eneo hilo la Mwanza akaamua kutoa msisitiizo. Nijambo jema ila aachane kumibizana na mikutano ya wapinzani.
 
Back
Top Bottom