Mamlaka haya Rais anayapata wapi ya kuamuru kesi ambazo zimefikia finality zirudi mahakamani

Prove it mahakamani, kesi irudishwe mahakamani
Mahakama ipi? Unajua finality ya kesi za mauaji ni wapi? Francis mbona unanipa mashaka , akilini mwangu huwa nawaza Francis Da Don kama mtu mdomi vile, kumbe.........
 
Unaona sawa kuachiliwa mafirauni waliothibitishwa na mahakama kuu!? (babu seya)
Mi nazungumzia ishu ya Butimba wale wafungwa niliwasikia mwenyewe mambo ya babu sea kila mtu anasema lake waliowaweka ndani na kuwatoa ndio wanajua ukweli wake...
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Aliwahisema kuwa Mhimiri wa Excultive umechimbiwa chini zaidi. Jamaa yeye mwenyewe ndiyo sheria. Utawala wa Ajabu saana huu.
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
He is god my friend, he is god
 
Ahahahaha yani matusi jamani, Mama yake wanini jamani, bishanene kwa hoja Jamani!!!!
Ukinitukana nitakutukana kwa tusi ambalo litanijia. Nimetoa hoja kwanini aniite mjinga? Kama unaona nimeandika kitu hukitaki/ujinga, just respond with respect or ignore na pita uende zako. Ukinitukana nitakutukana tusi lolote , potelea Nairobi, potelea mbali!
 
Mimi nadhani anayeona siyo sahihi anaenda mahakamani ndo kuna tafsiri ya sheria kule.

Akina Jebra&Co wanaenda huko,Jf kuna hisia tu!
 
Rais ni amiri jeshi mkuu
Rais anaongoza dola
Rais anaongoza serikali kuu
Rais anajua kila kitu
Rais siku zote yupo sahihi.

Kidumu chama cha manzi
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Hili jambo linaaibisha sana nchi , Yaani Rais anaamini anaweza kufanya lolote katika nchi kitu ambacho si kweli kabisa .
 
Back
Top Bottom