Mambosasa: Watu wengi wamejeruhiwa kutokana na kukanyagwa na kukosa hewa wakati wa kuaga Mwili wa Rais Magufuli

Kati ya vitu sisi wabongo/waafrika vimetushinda ni kufanya uendeshaji wa jambo/mradi n.k...

Ndio maana tuliua viwanda, mashirika ya umma na sasa tumeanzisha haya sijui maBRT lakini unaona kabisa uendeshaji wake in 10 years yanaweza nayo yakawa juu ya mawe...

Halikuwa jambo sahihi kwenye tukio kama lile watoto wadogo kuruhusiwa hata kama msiba umekuwa ni kwa Watanzania wote...

Kuna watu inabidi wawajibike kama kweli wanavyohubiri kuwa watamuenzi Hayati Magufuli
 
Lawama haziepukiki,
march 2019 mtoto Ibrahim hasan alifariki kwa kukanyagwa na mashabiki mechi ya taifa stars dhidi ya Uganda na hayati Rais magufuri alilalamikia uzembe uliofanyika kwa kuruhusu mashabiki wengi kuingia uwanjani kuliko capacity ya uwanja.

Wanarudia kosa lilelile siku ya kumuenzi mtu yuleyule aliyewakemea kwa kosa lilelile.

Mnahamasisha wakazi wa daressalaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi ilhali capacity ya uwanja mnaijua, baada ya kuona hali inazidi kua mbaya watu wanakanyagana unamuomba kamanda wa polisi mkoa akuongezee vikosi zaidi kudhibiti hiyoo hali ikiwa unajua kabisa ivyo vikosi vinavyokuja vinazidi kuongeza wingi uwanjani.
 
Hii thinking ya viongozi wetu kwenye fani ya ulinzi na usalama imewaondolea hadhi ya umakini.
Ndiyo maana nasema hali haiwezi kuwa business as usual, wachuliwe hatua.
 
Lawama haziepukiki,
march 2019 mtoto Ibrahim hasan alifariki kwa kukanyagwa na mashabiki mechi ya taifa stars dhidi ya Uganda na hayati Rais magufuri alilalamikia uzembe uliofanyika kwa kuruhusu mashabiki wengi kuingia uwanjani kuliko capacity ya uwanja.

Wanarudia kosa lilelile siku ya kumuenzi mtu yuleyule aliyewakemea kwa kosa lilelile.

Mnahamasisha wakazi wa daressalaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi ilhali capacity ya uwanja mnaijua, baada ya kuona hali inazidi kua mbaya watu wanakanyagana unamuomba kamanda wa polisi mkoa akuongezee vikosi zaidi kudhibiti hiyoo hali ikiwa unajua kabisa ivyo vikosi vinavyokuja vinazidi kuongeza wingi uwanjani.
Kwa kuanzia RC Kunenge na Mambosasa wa polisi wawajibike.

Wameshindwa kazi zao kwa ukweli.
Watu 46 kufa kwa uzembe hilo ni kosa kiutendaji.
 
Kati ya vitu sisi wabongo/waafrika vimetushinda ni kufanya uendeshaji wa jambo/mradi n.k...

Ndio maana tuliua viwanda, mashirika ya umma na sasa tumeanzisha haya sijui maBRT lakini unaona kabisa uendeshaji wake in 10 years yanaweza nayo yakawa juu ya mawe...

Halikuwa jambo sahihi kwenye tukio kama lile watoto wadogo kuruhusiwa hata kama msiba umekuwa ni kwa Watanzania wote...

Kuna watu inabidi wawajibike kama kweli wanavyohubiri kuwa watamuenzi Hayati Magufuli
Kama kawaida ya CCM kupitia na vipaaza sauti kuhamasisha watu, Wazazi wa watoto lazima walilazimishwa kwenda na watoto wao kwenye msiba kuongeza namba kwa wasiwasi huenda wasijitokeze watu wengi. Tuliona hili wakati wa Kampeni za Uchaguzi magari aina ya Fuso yaliyojaa wanachama na watoto wa Shule yakizunguka na magari ya wagombea wa CCM toka Kituo hadi Kituo. Hata Mama Maria Nyerere aliongeza namba kule Musoma!
 
Sasa kama vinaaminika,iweje unaandika "wanadai" na siyo wanasema? Ukiweka wanadai ina maana huna uhakika, ni madai ya msemaji sawa sawa na huyo polisi.
Nimeandika wanadai kwa sababu kwa mujibu wa sheria zetu hao hawana mamlaka (authority) ya kuthibitisha hilo japo ni vyanzo vya kuaminika
 
Duniani kuna watu wenye akili zao timamu wachache sana.

Wengi ni kama magogo tu yametundikwa mashati yanaendeshwa tu, nenda kulia, nenda kushoto, geuka nyuma, sikitika, lia, cheka, huyo mtu ni mbaya kwako, msikilize huyu.
Robot, tofauti wao wana damu. Tusubiri mlipuko mkubwa wa ugonjwa mfumo wa 'kupumua' baada mazishi ya marehemu.
 
1) Kwa makisio unaweza kusema ni watu takribani elfu ngapi hivi walienda kumuaga uwanja wa Uhuru? Na je Dar es salaam ina wakazi wangapi? Fanya hesabu tuambie wangapi hawajaenda.

2) Watanzania wana hulka ya umbeya sana, na kushuhudia na kushabikia shabikia vitu sijajua kama kuna taifa lingine duniani linatuzidi kwa ujinga uliotukuka. Kumbuka ishu ya ajali ya Lori la mafuta Msamvu, umati ulivyojaa pale ilimradi kushuhudia tu kupata la kusimulia mtaani. Hiyo ndio hulka ya watanzania.
Msiba wa Ruge, kuna watu wameenda kumuaga pasipo hata kumfahamu Ruge mwenyewe kuwa yupoje nawala hakuguswa kwa lolote na huyo marehemu pindi akiwa hai lakini kwenye msiba kauzuria. Ndio asili ya watanzania hiyo
Pamoja na asili, kuna hoja ya kutokuwa na kazi ya kufanya. Tukio lolote huwa ni fursa ya mtu asie na shughuli kupata pa kupitisha muda. Ukosefu wa ajira nchini ni wa kutosha, japo wa kujitakia. Kwa mfano Walimu hawana kazi lakini kuna madarasa yenye wanafunzi 200! Hospitali hazina madaktari na wahudumu wa afya, lakini mitaani wahitimu wa fani hizo wamejaa mitaani.
 
Wafu hawawezi kupenda au kuchukia, na “hakuna kazi wala mipango wala ujuzi wala hekima Kaburini.” Mhubiri 9:5, 6, 10.

Inakuwaje mtu mpaka unaenda kufa kwa ajili ya marehemu asiye kuwa namaana yoyote tena duniani?
Sababu ipo, upumbavu.
 
Back
Top Bottom