Speaking of birds flocking the yard for being a little too skilful at improvisation of mahanjumati; I have got a confession to make... pls allow me!
huyu gaijin ndo wale wanapewa talaka asubuhi
jioni keshaolewa na mwingine,lol
watu hawana mchezo na mahunjumati ati lol
Hahahahahah lol! halafu ukirudi kuja kumuomba arudi nyumbani na pia akusamehe kwa kumkosea unakuta ulishachelewa unabaki kulialia tu, njemba nyingine imeshakuzidi speed
Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that it was a closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!Go ahead ahead Mkuu with your confession
unakuta njemba mdomo umenooona....
kuongea hawezi mashavu full lol
Lolzzzz.....we mchoyo kweli!!Ila wakati mwingine ni raha zaidi kitu ukiwa unakijua wewe tu mtu akitaka akuombe umtengenezee!!Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that this was closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!
Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that this was closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!
Mhhhhhh! Steve Dii! Duh! kumbe maujanja ya jikoni yana faida zake eeh!!!
mno mkuu
mimki kuna mdada niliwahi mwambia naweza pika pilau lazabibu
akabisha,
nikamwambia uje nikupikie home....
unaweza guess kilichofuata baada ya pilau lol
mno mkuu
mimki kuna mdada niliwahi mwambia naweza pika pilau lazabibu
akabisha,
nikamwambia uje nikupikie home....
unaweza guess kilichofuata baada ya pilau lol
La zabibu na mayai yalochemshwa!
Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!
Kumbe tuna njemba nyingi hapa zinajua maujanja ya jikoni....basi ngoja wadada wawazimikie hapa jamvini....maana siku nyingine ukifurahi unamwambia mama aweke miguu juu wewe unaingia jikoni kufanya mavitu yako na anajua fika chakula kitakuwa bomba tu...lakini hapa asiwepo mama wa mume au dada ndani ya nyumba inaweza kuwa kasheshe....mwanangu anaingia jikoni kupika wakati mkewe anajiremba tu chumbani kwao au mdada akaja juu yule kaka yetu sijui vipi labda ndio kisharogwa! uliona wapi mke anajiremba tu mume ndio yuko jikoni anapika hajarogwa bana! mapenzi tu hayo
La zabibu na mayai yalochemshwa!
Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!
Comes with the territory pal! Lolmkuu hii ni art mkuu
culirnary art mkuu....
lazima utapata fans ukiijulia....lol
Naipenda sana pilau ya zabibu lakini hii ya mayai ya kuchemsha Mhhhhh! kwa mara nyingine tena umeniacha kwenye kona..ila najua mchuzi wa mayai ya kuchemsha unaupika kama mchuzi wa nyama kwa kukaanga mafuta vitunguu na nyanya na hata bizari halafu unachanganya kama unayo halafu unachanganya mayai humo humo ni bomba sana kwa wali mweupe
Mmmh vipi ile mboga ya mayai ya kukaanga na nyanya kwa ugali?!Naipenda sana pilau ya zabibu lakini hii ya mayai ya kuchemsha Mhhhhh! kwa mara nyingine tena umeniacha kwenye kona..ila najua mchuzi wa mayai ya kuchemsha unaupika kama mchuzi wa nyama kwa kukaanga mafuta vitunguu na nyanya na hata bizari halafu unachanganya kama unayo halafu unachanganya mayai humo humo ni bomba sana kwa wali mweupe
mkuu ukitaka kumpikia mpenzi wako
hakikisha wambea wote hawapo...
mpo nyinyi tu wawili...
unampikia na mnalishana taratiibu....
Mmmh vipi ile mboga ya mayai ya kukaanga na nyanya kwa ugali?!