Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

Mmh mi chai ya maziwa situmii ila napenda kuipika inavyopendezaga rangi naharufu!!!Weeee vitumbua na maharage pmoja vinashuka???!

yaani maharage na vitumbua usipime
halafu vanilla kwenye chai,hata ya rangi....acha kabisa
 
Ndizi zinatiwa sukari???!Nachukia tambi za kukaanga...

tambi za kupika je,?????

hizo ndizi hazitiwi sukari,ni ndizi zinaitwa kisukari kwa utamu

za njano hivi,wengine wanaita ndizi mzuzu.....

acha kabisa.....

halafu gaijin naona kwa futari we ndo mwenyewe
 
yaani maharage na vitumbua usipimehalafu vanilla kwenye chai,hata ya rangi....acha kabisa
Mmmh hiyo ya vitumbua ntajaribu kwa mbali ila hiyo ya Vanilla kwenye chai sijashawishika bado!!
 
tambi za kupika je,?????hizo ndizi hazitiwi sukari,ni ndizi zinaitwa kisukari kwa utamuza njano hivi,wengine wanaita ndizi mzuzu.....acha kabisa.....halafu gaijin naona kwa futari we ndo mwenyewe
Ohh kumbe ni ndizi visukari...nazipenda sana!Alafu vidogo vidogo hivi!!Tambi za kupika karibu aina zote napenda....as long as haweki mtu sukari maana kuna watu kila kitu SUKARI!
 
Mmmh hiyo ya vitumbua ntajaribu kwa mbali ila hiyo ya Vanilla kwenye chai sijashawishika bado!!

kila kitu ni mpaka uonje ndo utajua

mfano maziwa bardi na vanilla ndo inakuwa sharubati
umewahi kunywa sharubati?????

chai na vanilla usipime
unaweka kidoogo sana,
tafuta anaejua uonje kwanza
 
kila kitu ni mpaka uonje ndo utajuamfano maziwa bardi na vanilla ndo inakuwa sharubatiumewahi kunywa sharubati?????chai na vanilla usipimeunaweka kidoogo sana,tafuta anaejua uonje kwanza
Mhh kuna vitu mi hua naogopa kujaribu....ila ntajitahidi uaikute najinyima uhondo bure!!
 
bubu utafanya hii thread watu wachukie misosi yao ya nyumbani
mtu atoke kula ugali na kisamvu hala aingie hapa atoke udenda akasirike lol

umewahi kula vitumbua na maharage ya nazi?????????
acha kabisa

Hahahahahah hata maharage ya nazi kwa vitumbua bomba sana! na chai yako ya mchai chai pembeni. Mie zile tambi za kuchemsha Mhhhhh! Tambi za kukaanga zitatiwa hiliki na zabibu kavu ahhhhh! Acha bana Vyakula vya kwetu viko juu sana :) ila ile biriani mie imenishinda kabisa! hata wale nilioambiwa ni wataalam wa biriani walifanya vitu vyao lakini mie mhhhhhh! imenishinda kabisa!!!
 
mkuu biriani ipikwe kizaramo utaienda
ile original ya kiarabu ina mafuta saana
ya kizaramo mafuta kidogo
 
mkuu wadada wanahangaika na limbwata
hwajui sie limbwata yetu ndo mahunjumati kama haya lol
lizzy na gaijin mkiweza haya,basi mna limbwata tosha,trust me lol
 
Ndizi zile ndeeefu, nene :))Ukiziacha zikapea, zinakuwa za njano tamu kuliwa. Sasa unazipika kwa nazi na kijiti cha vanilla au iliki. Tamu kaa nini :]
Hiyo sijawahi kujaribu...ila zilizoiva alafu zikakaangwa napenda sana!!
 
mkuu wadada wanahangaika na limbwatahwajui sie limbwata yetu ndo mahunjumati kama haya lollizzy na gaijin mkiweza haya,basi mna limbwata tosha,trust me lol
Hahahahah...ngoja nifungue ofisi yangu na tangazo la “KWA LIMBWATA ASILIA WASILIANA NA .........“.Wakija nawapa maujanja ya jikoni!
 
mkuu biriani ipikwe kizaramo utaienda
ile original ya kiarabu ina mafuta saana
ya kizaramo mafuta kidogo

Mie nimekula zote hizo hata ya kidengereko lakini hazipandi! :) nikiona biriani basi naipiga chenga ya mwili :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom