Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wanajamvi..!

Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni.

Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu.

Mambo yanayopelekewa kutimuliwa

1. Tabia mbaya kama uvutaji bangi, sigara, milungi na ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.

2. Umalaya yaani tabia ya kuingiza mademu au wanaume wakati unajua hapo sio kwenu, hata kama mtoto wa wa ndugu mwenye hiyo nyumba anaingiza ww unatakiwa usimuige.

3. Kukosa heshima kwa wale uliowakuta awe mkubwa au mdogo unatakiwa umuheshimu ss unakuta lijamaa linavimba linapigana mpk na waliomuita mjini hapa utatimuliwa tu hata kama yeye ndio mwenye makosa.

4. Unatakiwa ujiongeze kama ukipiga hela kidogo unatakiwa uchangie msosi au vitu vidogo vidogo huwe unamaliza mwenyewe sio mradi upo kwa baba mdogo au mama mdogo au shemeji unakuwa tegemezi kwa kila kitu hata ukifanya kibarua ukipiga hela unataka chako kiwe chako tu.

5. Kama unakaa ukweni kwa baba mkwe inabidi uwe mpole sana utoe support ya chakula, pesa ndogo ndogo na matatizo madogo unamaliza tu, hakikisha humpigi mkeo wala kumsema sema hata kama anatoka na madanga mengne.

5. Ukiwa unaishi kwa ndugu usipende sifa sana jaribu kuwa mpole.
 
5.Kama unakaa ukweni kwa baba mkwe inabidi uwe mpole sana utoe support ya chakula, pesa ndogo ndogo na matatizo madogo unamaliza tu, hakikisha humpigi mkeo wala kumsema sema hata kama anatoka na madanga mengne

Mwanaume ukiishi Kwa Baba Mkwe hata siku akitaka kukulawiti unapaswa kumkubalia..

Maana wewe hapo ndiye utakuwa umeolewa, hujaoa..!!
 
Hehee dah..nikivuta nikila na pipi ni tabia nzuri..nisipokula pipi ni tabia mbaya...
 
Hao wakwe nao wanaozeshaje mtu mwenye tabia kama hizo dah.

Labda jamaa alijificha tabia kabla ya kuoa itsokei
 
Siwezi kuishi tofauti na kwangu, au nyumbani (kwa wazazi) zaidi ya week 1, hapana haiwezi tokea.
 
Reactions: _ID
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…