englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hapo utaomba asubuhi ifike uende kazini
hahaha umeona eeeh
Naona haya ndo yalonikuta mie leo....Kitu mzungu wa nneee.....natamani kukucheeee....
utakuwa umeleta kesi zako kitandani... maana mnapendaga zana kukigeuza kitanda kuwa ZE HEGI