Muda wa Kuchelewa Kurekebisha Mambo

Muda wa Kuchelewa Kurekebisha Mambo

uhuruborn

Senior Member
Joined
Sep 6, 2025
Posts
129
Reaction score
451
Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa.

Kauli ya Zungu ya jana haikuwa ya bahati mbaya. Inaashiria kwamba kuna mambo yanayoanza kueleweka ndani ya mfumo. The ship is sinking, and now they are desperately trying to put things in order ili hata nahodha akiondoka, waliobaki waweze kuendeleza safari.

Bahati mbaya, kuna tofauti kati ya kurekebisha mambo mapema na kuanza kuyarekebisha wakati meli tayari inazama. Wanachojaribu kufanya sasa huenda kingekuwa na maana kama kingefanyika kwa wakati. Unfortunately, it may already be too late.
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom