Mambo yanapoharibika.


Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,948
Likes
251
Points
180
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,948 251 180
Usiombe yakukute....
 

Attachments:

Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,618
Likes
82
Points
145
Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,618 82 145
Ooh ghoosh!...Staili ya bata! Nilishashuhudia ishu kama hii wakati nasafiri kwa basi. Dada mmoja ilimtokea kama hivyo. Nikikumbuka tukio hilo najisikia sad.
Huwa nasema kama nasafiri umbali mrefu kwa usafiri wa basi nikianza kujisikia dalili za tumbo la ku-bata bata bora nishukie njiani nitafute lodge nipumzike kuliko kupata aibu!
Halafu ushauri wa bure: Kama unasafiri umbali mrefu kuwa makini na aina ya vyakula unavyokula njiani! Na siku moja kabla ya safari usile chakula kitakachokuletea matatizo njiani!
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,230
Likes
358
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,230 358 180
Aisee!
Kwanini asiende toilet mbona yuko mtaani anadunda na "Pimajoto" yake?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
234
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 234 160
Ooh ghoosh!...Staili ya bata! Nilishashuhudia ishu kama hii wakati nasafiri kwa basi. Dada mmoja ilimtokea kama hivyo. Nikikumbuka tukio hilo najisikia sad.
Huwa nasema kama nasafiri umbali mrefu kwa usafiri wa basi nikianza kujisikia dalili za tumbo la ku-bata bata bora nishukie njiani nitafute lodge nipumzike kuliko kupata aibu!
Halafu ushauri wa bure: Kama unasafiri umbali mrefu kuwa makini na aina ya vyakula unavyokula njiani! Na siku moja kabla ya safari usile chakula kitakachokuletea matatizo njiani!
You re woman...? Ooops
 
Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,618
Likes
82
Points
145
Kamanda Kazi

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,618 82 145
You re woman...? Ooops
Vaa miwani au nawa uso uone vema! Wewe huoni huyo bidada kajiharishia au unafikiri ni bleeding?
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,019
Likes
181
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,019 181 160
Mmmmh! Cna hata hamu nayo!
 
Paloma

Paloma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Messages
5,336
Likes
18
Points
135
Paloma

Paloma

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2008
5,336 18 135
yeuwi! hii mambo ya aibu kabisa!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,068
Likes
5,278
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,068 5,278 280
kama Pretta hivi!!!!?
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
7,916
Likes
6,417
Points
280
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
7,916 6,417 280
Masikini aibuuu...
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,926
Likes
903
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,926 903 280
Accident: diarrhea huwezi control !! Tumbo likichafuka noma,au (food poison) popote pale unajiachia!!
 
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,817
Likes
39
Points
145
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,817 39 145
Masikini aibuuu...
Bora ingekuwa aibu hii ni fedhehaa, haja kubwa na ndogo huwa ni za siri na huwa mtu anapata kwa wakati wake, inapotokea hadharani huwa ni fedheha. Pata picha umebanwa na mkojo huna hata pa kujisetiri yaani hamna, bora wanaume wanapiga magoti hata hadharani anafungua zipu tuu aungo yake hayaonekani.
Sie akina dada ndo issue hasa ukutwe umevaa suruali au kimini kama hiko maungo yote wazi. Hii ni fedheha kwa kweli maana hata mwanaume inaweza kumtokea.
Huwa sipendi hali ambayo unakuta mtu kaenda chooni kujisaidia baada ya kujisafisha na maji anavaa nguo zake kisha anakaa kabla yale maji hayajakauka akiinuka unaona alama matakoni za maji yaani huwa sipendi kabisa.
Wakati nasoma A level shule moja ya serikali miaka hiyo ilikuwa matata sana kuna ticha mmoja aliingia darasani na mikogo kumbe katoka chooni na suruali yake matakoni imelowa maji yeye hakujua, ile amegeuka ubaoni tuu kuandika GEOGRAPHY, darasa zima tukacheka kwa nguvu akageuka kuuliza kwa kizungu, ''what is the problem''? Mvulana mmoja akamjibu Sir, ''your back is wet''. Darasa zima tulizidi kucheka kwa nguvu sasa ticha yule alikuwa anajipenda sana, sasa asitoke nje akajikague pembeni akageuka kujiangalia matakoni na kuvuta suruali kwa mbele akiwa mulemule darasani, huku wanafunzi tukazidi kucheka nakumbuka kuna mwanafunzi mmoja darasani hadi na yeye mkojo ukamtoka kwa kucheka. Nikikumbuka hili tukio huwa nacheka sana na siku hiyo hatukusoma tena Geography kipindi kiliishia hapo.
Back to the topic hiyo ni kama ajali na inawea kumpata yeyote popote alipo, kwa wanawake au wadada ni kosa kutembea bila khanga, je wanaume wakipatwa na shida kama hii wanfanyaje? wantakiwa kutembea na misuli? heheheheee just thinking aloud looh
 
galindas

galindas

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
982
Likes
1,161
Points
180
galindas

galindas

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
982 1,161 180
Tatizo la uharo kila unapokikaribia choo ndivyo inavyozidi kuwa ngumu kuzuia. Aibu tupu mrembo kuwa namna hiyo.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,369
Likes
6,401
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,369 6,401 280
Alikula nini mpaka tumbo limechafuka
bila breki yaani hii ni bonge la aibu!!!
Yamekuja bila hodi maana uharoo ni
hatari huwa haugongi hodi.
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Likes
370
Points
180
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 370 180
Mkuu umeharibu lunch yangu kabisa bora nisingefungua uzi huu saa hii.

Na haka katabia kao ka kuvaa tule tukamba ndiyo inawatokea puani, mchuzi na minofu nofu inadondoka bila kizuizi, bora wakati ule walipokuwa wanavaa zile chupi kubwa zilikuwa zinasaidia kuyazuia mabo mpaka utakapo fika chooni.
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Likes
370
Points
180
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 370 180
Haya ni moja ya madhara ya kutoa Kabaang, ona sasa sphincter muscles zote zimeachia, maji kupwa maji kujaa pwaaaaaaaaaaa.
 
ram

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
7,234
Likes
2,234
Points
280
ram

ram

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
7,234 2,234 280
Nadhani alishikwa na tumbo la kuhara ghafla
 

Forum statistics

Threads 1,273,509
Members 490,428
Posts 30,483,544