Inanikumbusha mbali sana wakati nipo la kwanza rafki yangu alinilamikia anaumwa na tumbo nikamwambia kaombe ruhusa kwa mwalim si akakataliwa bana maskin baada ya dakika 5 kamwaga vitu pale pale nilimuonea huruma sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.