Utaniua kwa presha mtoto wa mbabu mwenzio mimi....
Usife mimi nipooooo.....ulipo tupoo
Hahahah...mahaba ya wababu utayaweza weye....
Utaniua kwa presha mtoto wa mbabu mwenzio mimi....
Hahahah...mahaba ya wababu utayaweza weye....
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

Hivi umeolewa na nani hasa?
JF Member,mlokole,kaka mtu au mdogo mtu? maana hao wote wamekugonga ndani ya miezi hii mitatu.