Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu

Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu

Na mie nlitaka kuuliza the same swali......aa kweli Wahenga walinena,"ukiwa muongo uwe na kumbukumbu"

Naomba mniambie mna maanisha nn kabla cjachangia isije kuwa ni wale wa mada za kutunga kila wiki analeta mada za majanga yasiyolingana
 
@shkran kwa mnao ona tofaut.
 
Shetani kahamia kwenye ndoa na kwa wadada wa kazi manyumbani
 
Í
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

Kubwaga manyanga si suluhu, tafakari wapi mnakosea!! Mlipooana alikuwaje na sasa amekuwaje kiasi akushinde??
 
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

Mumeacha muongozo wa mungu. Waangalieni wauslamu wa kweli walivyofanikiwa ktk ndoa zao.
 
Namfananishaga huyu na morg..sijui kwa nini..!?
 
Deo acha umbeya kwa kuwa napenda mpira?
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

pole my dear?
don't make decision while you are angry
mend the differences with your husband
listen , in marriage its not about winning the argument
its about losing the argument so as to keep the relationship going
ndoa ni takatifu na iheshimiwe
ok all the best with your beloved hubby. sawa
 
Jaman pole sana tatizo ni nn si ulisema mkurya ni mpole na anakupenda
Ngoja niwaite hawa wakufariji Vaislay come tiz way
Best mtoto ana mimba usimpe mkali miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

Pole sana! Naomba kukuuliza!! wakati ulipokuwa unatamka haya maneno "KWASHIDA NA KWA RAHA UZIMA HADI MAUTI" ulikuwa ukitabasamu au ulikuwa ukilia?
 
muite Vaislay shostic atanisaidia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mdada kwa hilo, Ila hujawa wazi nini sababu ya kutaka kuyabwaga! Ndoa zinachangamoto nyingi na huongezeka maradufu pale mwenza anapokuwa mjamzito. Kuna hali ya kawaida ya wadada wengi akiwa mjamzito anabadilika. Mabadiliko kimwili na kiakili, Mabadiliko ya kimwili anjiona tena si kitu kwani viwanja alivyopenda hawezi kwenda, mavazi ayapendayo hawezi kuyavaa, vyakula avipendavyo havipandi tena. Manukato aliyopenda hatayataka kabisa na kubwa la lote kale ka halufu kazuri ka mmewe alikokuwa anakafeel hatakapenda kabisa na akimuona anajisikia kichefuchefu.
Mbadiliko Kiakili ni kuwa anajitambua mjamzito na hawezi kumfanyia mmewe mambo yote hivyo kujenga hofu ya kusalitiwa, wakati mwingine anapenda awe n mmewe muda wote bila kuwaza anafanya kazi ofisini au la, mme akichelewa kurudi ni ugomvi mkubwa na matusi. Akiwa na mme si mstaarabu akamjibu mbovu ndo chanzo cha kuna kadharauliwa na ugomvi kukua kufikia wazo la KUBWAGA MANYANGA.

Nini cha kufanya:
1: Mke jitambue hiyo ni hali ya muda tu na mara ukijifungua hutakuwa nayo tena
2: Mme atambue hali ya mke na ajishushe kumridhisha na kumfanya awe na amani kwa kipindi hicho
3: Mme ampeleke mkewe kwa wazazi wao akajitazamie mpaka kujifungua
4: Mme asiwe na marumbano sana na mke

Ni ushauri tu wa kuanzia japo hujaweka wazi nini chanzo cha kutaka kulibwaga.
ANGALIZO :Kulibwaga ni rahisi ila kulisimamisha mbinde!
 
Hivi ile sala ya bunge inasomwaje? Napenda jinsi Msekwa alivyokuwa anaisoma..lols
 
Pole sana,nenda kapata maombezi ufufuo na uzima
 
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.

Lazma ikushinde... Uliambiwa na nani ndoa zinapelekwa jf?
 
Me mwenyewe mwenzako ana ya mwezi,mama yng hataki hata kuniona.Ila kuna wakati utakuta anabeep et anataka kuongea na mie.Ni hali tu imejitokeza utakuwa ok.
 
Inaelekea hujui nani mwenye mimba

Sasa muhusika ameshtuka akaamua kukutimua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom