Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,880
- 109,952
Chukua email yangu tuwasiliane private sio humu ni kweli unahitaji msaada. Kama kweli unashida nitafute piensiafocus@hotmail.com
ujinga huu.
Chukua email yangu tuwasiliane private sio humu ni kweli unahitaji msaada. Kama kweli unashida nitafute piensiafocus@hotmail.com
Umeniwahi dada!
Na mie nlitaka kuuliza the same swali......aa kweli Wahenga walinena,"ukiwa muongo uwe na kumbukumbu"
Hahaha dah ni kweli kbs ukisahau ulohadithia umeumbuka
Pole Evz kwanini lakini matatizo yandoa yanaongezeka siku hadi siku?
Jaman pole sana tatizo ni nn si ulisema mkurya ni mpole na anakupenda
Ngoja niwaite hawa wakufariji Vaislay come tiz way
Best mtoto ana mimba usimpe mkali miss neddy
Hivi ile sala ya bunge inasomwaje? Napenda jinsi Msekwa alivyokuwa anaisoma..lols
Natumai sijachelewaJaman pole sana tatizo ni nn si ulisema mkurya ni mpole na anakupenda
Ngoja niwaite hawa wakufariji Vaislay come tiz way
Best mtoto ana mimba usimpe mkali miss neddy
muite Vaislay shostic atanisaidia.
naomba kuwa msaidizi wa vaislay