Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.
Ndoa ndoano huo usemi unamaana kubwa sana, tatizo lenu wasichana wa kileo mnapenda kuolewa tuili muonekane mna waume, mama yakikufika vumilia tu wanaume ndo tulivyo.