Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
naomba kuwa msaidizi wa vaislay
since when
naomba kuwa msaidizi wa vaislay
kwani kuna ubayaa...
simwelewi huyuuu au anadhan nimelala
kwani kuna ubayaa...
Nikajua mambo ya id mbili
nahisi unakitu wewe si bure...ndo mana unapondwa na watu...kaz kuvamia vamia tu...behave basi
Wanajamii forums. Mwenzenu maji yamenifika shingoni..nina mambo mazito sana mwenzenu. Hapa nilipo leo au kesho nabwaga manyanga. Bora niwe single ntalea kiumbe changu mwenyewe kilichopo tumboni. Kiufupi yamenishinda. Kweli nimeamini ndoa ni ndoano. Machungu kila siku jamani? Hapana nimechoka. Nishaurini ila matusi nisingependelea kwa kuwa tumetofautiana fikra. Nimeji minus kwa lolote.
Watu wanaboa bana...kwanini afanye hivi,wacha nilale mi, usiku mwemaKhaaa best vipi....haturuhusiwi kukutania? Hebu tulia kwanza loh....